Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale watumiaji wa magari aina ya VOLKSWAGEN na wanahitaji spare mbali mbali za VOLKSWAGEN yoyote, walioko Dar es Salaam au hata Mikoani, tuwasiliane ili waweze kupata Spare original from...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji Oil filter za Toyota Passo zinapatikana na bei ni 15,000 Tshs. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hii 0783 882 883 au nitumie PM.
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Hii ni box mpya,haijawahi kutumika ya kuunlock na kuflash simu za aina zote zikiwemo Samsung, lg, sonyerricson, huwaei,zte nk. Contact: smileltd@hotmail.co.uk 0714101020
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Wakuu mwenye ujuzi na hii route anipe majibu ya gharama sahihi za kukodi gar toka dar kwenda bagamoyo kwenda na kurudi itakuwa n shiling ngap za kitanzania,
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nakodisha gari yangu binafsi shilingi elfu harobaini kwa siku nzima, mafuta juu yako. Maelewano yapo Gari lenyewe ni : Make - toyota model -caldina new model iko katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TOYOTA PASSO Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / Rear Window Wiper / Tinted Glass / A/C:front / Power Steering / Remote Keyless Entry...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
bei 20,000@ ninazo 2pcs. nichek 0716-844978
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari, ninauza kifaa tajwa hapo juu kwa bei ya elfu 45.. very portable flash disk price ni fixed wadau... 0712 507060
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari waungwana, Nauza Kindle Paperwhite WiFi. ina vitabu zaid ya 1000. vya bure na vya kununua. pia nina software ya kukuwezesha kusideload kitabu chochote katika format yoyote uweze kukisoma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau JF, Natafuta kioo cha nje cha Tablet Inchi 7,kwa aliye nacho aniPM.Mimi nipo Arusha.Asanteni wote.! Tablet yenyewe ni hiyo pichani ilivunjika kioo chake.Unaweza pia nipata kwenye 0787140432.
0 Reactions
1 Replies
767 Views
kwa experience niliyonayo.. Kutoka kwa marafiki na watu wa karibu.. Kumekuwa na uzungushanaji wa mnunuaji gari na clearing agents walio wengi. Siongei kujitapa.. Ila kati ya hao wengi.. Nimekutana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unahitaji kusafishiwa Carpet au Sofa Set? Stevico Cleaners tunakufuata ulipo,tunatumia high quality products(GNLD),na kifaa chako hakipotezi mn'garo wa asili.Charges zetu ni: Shs 10000 kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
cm iko katika hali nzuri ni mpya kabisa na nimeitumia siku 4 haina tatizo lolote chek me 065957095 nipo Dar!
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Ist grade mtumba clothes unapatikana kwa bei nzuri hapa dukani kwetu maeneo ya TABATA AROMA karibu na DAR WEST PARK. Tuchake kwenye wtsp #0714121270 or 0758233324,our facebook page...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni leo mchana kumekuwepo na Tatizo la kufanya connection kwa kutumia UDP server ports Hili tatizo linaweza liwe permanent au temporal hivo msiwe na wasi wasi maana watu/wateja wangu hasa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF, Business as usual.. Nauza Vitabu kama ifuatavyo. Economics Econometria - Gujarati - Basic Econometrics Economics - Principles and Applications (2nd Edition) Entertainment Industry...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi nina madin chuma na sijajua wapi soko nahitaji msahada wenu wanajamvi kwa mawasiliano nicheki kwa phone 0786466056
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Naomba mnifahamishe bei ya nokia lumia 1020 na samsung galaxy s4
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DELL latitude E6400,RAM 2GB,PROCESSOR DUO CORE 2.4GHZ,HDD 250GB Kwa anayeitaji anipigie au sms 0759149202 Mzigo mpya umeingia kwa punguzo la bei mpaka 430000
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari wa ungwana! kuna hili jambo nimekutana nalo linahusu kusafisha dollar negatives au ni utapeli maana nimeface kitu kipya naogopa nisije nikatapeliwa 1.nikweli hii biashara ipo na kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…