wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama...
Habari zenu wanajamvi? Nahitaji kununua gari kwa ajili ya biashara lakini kutoka na bei za kwenye yard kuwa juu nahitaji kuagiza moja kwa moja toka nje. Msaada naohitaji ni
1. Je nitumie kampuni...
Naitaji chumba cha kupanga
maeneo-Kigogo, mburahati, magomeni au ubungo
bei-kisizidi 40000
kuwe na ulinzi na kunafikika kirahisi...
Naomba anayewezakunisaidia anPM nimpe no tuwasiliane...
Naitaji chumba cha kupanga
maeneo-Kigogo, murahati, magomeni au umbungo
bei-kisizidi 40000
kuwe na ulinzi na kunafikika kirahisi...
Naomba anayewezakunisaidia anPM nimpe no tuwasiliane...
aina ya gari-nissan xtrail mwaka wa kutengenezwa - 2001 bodi: station wagon rangi: silver mafuta yanayotumika: petroli cc: 1968 mahali ilipo: kigoma/ujiji imesajiliwa, plate number utazipata soon...
Niaje niaje wadau ndani ya jukwaa la matangazo madogomadogo simu tajwa hapo juu ninaiuza bei ni shilingi 150,000/= japokuwa mazungumzo yanaruhusiwa hivyo bei inaweza kushuka. Simu App zake zote...
A LAPTOP URGENTLY NEEDED...
It must atleast have the followings specs.
HDD 250GB,RAM 2GB,PROCESSOR 2.0 AND
THE REASONABLE BATTERY LIFE...
For a serious biz,holla through
0752385949