Naitaji chumba cha kupanga maeneo-Kigogo, murahati, magomeni au umbungo bei-kisizidi 40000 kuwe na ulinzi na kunafikika kirahisi... Naomba anayewezakunisaidia anPM nimpe no tuwasiliane!!! Asanteni