Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau natafta simu hizo bei ni maelewano.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
*Apple Ipod 3rd Generation Apple Ipod Touch USED:STILL IN A GOOD CONDITION BUILT IN STORAGE:8GB LISTEN MUSIC UP TO :9 hrs(when fully charged) Internet access via wi-fi...
1 Reactions
0 Replies
793 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nauza tecno l3 kwa laki moja na thelathini elfu tu ( 130,000/).Ina wiki mbili(2) toka nimeinunua ina kila kitu memory card 8gb,hear phone za tecno'double...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
A white crester Gx100, year 1996, cc 1988, engine 1G, T 169 AUL. AUTO, MILL5.8 0718 268969. SOLD
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Natafuta chumba na sebule kiwe na jiko na choo maeneo ya kawe, sinza,kinondoni,magomeni na knyama bajeti yangu ni laki kwa mwezi. Siitaji dalali nahitaji mwenye nyumba direct ni pm Sent from my...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Year 2002 Less km 650cc kama engine ya piki piki Full A/c TV/ Radio White Color Call 0716398757 Serious buyers
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Samsung galaxy s3 mini mpya kwenye box na accessories zote Moja inauzwa kwa bei ya laki 4 na elfu 50 cash, zina 8/16gb, 2camera 5mpx, android 4.1 Jelly bean. Piga ama sms namba 0753 254...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Weka picha km unako
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Institute of Accountancy Arusha (IAA) nachkua course ya Bachelor of Economics and Finance (BEF).Muda wa likizo ndo unaanza hivyo nlikua...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Umofia kwenu wana JF, Nahitaji heka moja tambalale square 70m kwa 70m,Maeneo nayotaka ni Ununio,Boko,Bunju,SalaSala,Mbweni,Kibada,Tuangoma,Kongowe,Mjimwema,Kibugumo,Gezaulole! Weka offer yako...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samsung Tab 2, (7").16gb......$ 320 Samsung Tab 2. (10" )16gb....$ 410 Samsung Note 2 phone 16gb.$520 Samsung galaxy Grande. ...$350 Samsung s3 16gb...$450 Samsung galaxy S3 mini 8gb.....$300...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Onyo. simu ya wizi ntakufunga maisha.... taja aina ya simu na kwanini unuza...... kama unauza tecno, sinto pokea japo nayo ni smartphone... twende kazi sasa
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau Mji wa Singida unazidi kukua na kupanuka kwa kasi. kama wewe ni mwenyeji au mkaazi au mtu yeyote mwenye uhitaji wa wa kununua; Viwanja Mashamba Nyumba au Nyumba/vyumba vya kupanga Wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuulizia kama kuna mtu ana garage au anafahamu garage ambayo wanaweza nifungia viti kwenye hiace yangu kwa hapa dar na bei yake ni kiasi gani
0 Reactions
2 Replies
900 Views
mwenye chumba chabiashara. mkoani mbeya tafadhar tuonane niko mbeya mjini 0754078015
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wwdau JF, Nategemea weekend inaendelea vizuri.! Nahitaji gari ya kokodi kwa siku tano,gari iwe SALOON, model yeyote na iwe kwenye hali nzuri.Nataka kwenda nayo Tanga mjini na Pangani nikitokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf kwa mwenye lumia 520 aniuzie kwa bei hiyo.Kama unayo nipm au nisms kwa namba 0682990903
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Wakuu salama ? kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia nikapata luku yangu ya kujitegemea ili kuepuka mzozo wa kuchangia kulipa umeme, sisi tuko jengo moja hapa kariakoo lenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ps2 inauzwa inatumia flash unapata na pad zake mbili!!!! n 130000 nko dodoma!! for more informatiion ni pm o call me 0654434509
0 Reactions
2 Replies
985 Views
habar ya weekend wapendwa. me nahtaj king'amuz cha startimes kwa bei tajwa (40000/=Tshs). mwenye nacho anipm au 0782701288 npo dar.
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Back
Top Bottom