Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga &...
naomba kuuliza wakuu hii piki piki ni inzuri sio kimuonekano apana perfomance yake kwenye barabara korofi na lami? pia vifaa vyake na mafundi wakawaida wana zitengeneza?
Nokia yangu naiuza nami nisherekee Mapinduzi kwa wali nazi. Bei 19000/= Tshs,yaan elfu kumi na tisa tu.
Inakaa na chaji mpaka unaboeka. Nipo Kigamboni kwa steven hapa.
Piga simu moja 0625697394...
Habari mdau,
Kama upo Mbeya, Nanenane au Tukuyu inajishughulisha na duka la pembejeo na una mbegu za Mchongoma kwa ajili ya fensi.
Tokea chap nikupe dili.
Asante.
MIZANI YA KUPIMIA MADINI ZINAPATIKANA
TUPO DAR ES SALAAM, tunadeliver bure Dar es Salaam.
Bei ya OFA Tshs. 50,000 badala ya Tshs. 60,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam)
Pia tunauza kwa bei ya...
Karibu ATR CONSTRUCTION CO LTD, tunafanya Design ya ramani, kufanya makadilio ya gharama ZA ujenzi, na kufanya ujenzi kabisa.
[emoji625]Ofisi ZETU ZIPO UBUNGO NHC NR UBUNGO PLAZA-DAR
TUPIGIE...
Nauza piki piki ya watoto Electric quadbike 4×4
Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v)
Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales)
Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10
Price...
Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Ipo Tegeta Dar es salaam, haina tatizo lolote. engine ipo safi na nimeifunga mwaka jana mwezi wa kwanza,.hapo ni kuwasha na kuondoka. bei ni 35 milioni hakuna dalali, ni mimi mwenyewe hivyo...
Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB...
Car GPS tracker
GPS ni kifaa cha kisasa kinachotumia teknolojia ya Global Positioning System ili kubainisha kwa usahihi eneo la gari kwa wakati halisi. Kifaa hiki kimezidi kuwa maarufu kutokana na...
Nauza kiwanja Kibamba Gogoni Dar, ukubwa wa mita 20 kwa 20, umbali wa km 1 toka stand /Morogoro road, miundombinu ya maji na umeme pamoja na barabara vipo.
Bei ni 8 millions(mazungumzo yapo)...