Blue Toyota Carina TI for sale 6.5ml

Blue Toyota Carina TI for sale 6.5ml

Dash25

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
12
Reaction score
0
Good condition,Cheap price for serious buyers only,feel free to call +255717649099
 
weka picha na specs,unafikiri befoward wangekuwa wanaadvtz matangazo yao hivi wangeuza?
 
Good condition,Cheap price for serious buyers only,feel free to call +255717649099

Hivi hii kuandika Serious Buyers kwa kuiga ndio nini?
Maana matangazo telee unakuta kitu hiki,kwani unafikiria kila mtu anaeliza ndio lazima anunue,au ukiandika hivyo ndio utapa mteja wa kulazimisha?
Ingekuwa hivyo Show rooms za Magari zingekuwa zimeisha fungwa kwa wateja kuingia kuuliza na kusepa.

Hilo neno litafanya hata watu wahofu kuuliza bei na mambo mengine.
We sema tu unauza basi,mwenye kutaka au kujua zaidi akutafute.

Ingekuwa hivyo ungekuwa umeishaliuza kabla ya kuleta humu,maana humu na wale wateja uliowaambia wa mitaani kwamba unauza gari wote tupo sawa,lazima tudadisi na si lazima tuwe serious buyers

Weka picha yabodi,ndani na engine ,then km watu waithaminishe ili kujua kama inaendana na serious buyers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom