Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

laptop for sale Hp 690 4gb Ram 500Gb hardisk mpya...ipo dar @600k Contacts; 0786 305664
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Ace ipo katika hali nzuri sana,haina tatizo lolote,napatikana dar#200000Tshs
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Sixbrothers enterprises inawatangazia wananchi wote kuwa kuna tshirt (round & form six) za rangi zote zinauzwa kwa bei nafuu,pia kalenda za mwaka 2014 zinapatikana. Morogoro wacliana na afisa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka nijifunze kuogelea kwa self defense. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
27 Replies
4K Views
MODEL: PANASONIC PT-LB51U PROJECTOR Projector hiyo hapo pichani inauzwa. Ni nzuri, nyepesi na ina display vizuri kwenye mazingira yoyote. Ina remote control, cables zote na begi lake la...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kiwanja kipo kibaha lulanzi,karibu na shule ya msingi lulanzi na shule ya sekondari East coast unashuka picha ya ndege unaingia ndani kidogo, kipimo ni miguu 20 kwa 20 Bei:Tsh 2,000,000/=...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wabari wana jf.? Nauza cm aina ya nokia x2.01 ina whatsapp.queep:na operamin zote...haihitaji setting ya aina yeyote kwa upate wa internet yaani wewe ukiweka laini tu ya mtandao wowote ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuuu chumba cha kupanga kinatafutwa kiwe maeneo ya kinondoni kwa mwenye taarifa zaidi anaweza kunipm bei ya chumba isizidi elfu 50 mazingira yawe tulivu kwa ajiri ya kuishi...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
nahitaji modem ya tgo e303 fasta.... kama unayo nitumie sms 0688 06 10 10 tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Nauza htc legend yangu,ipo katika hali nzuri sana,pata charger,earphones,usb kwa 250,000Tshs nipo dar
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Mwenye nacho,anaeweza nielekeza pakukipata naomba msaada. Mawasiliano 0712365531
0 Reactions
3 Replies
2K Views
natafuta sumsung galaxy tablet 2 au tab 3 original inayotumia sim card budget yangu ni 300,000 mwenye nayo ani pm au whatsap 0767251838 tufanye biashara.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikon D3200. Inauzwa iko katika Hali nzuri sana bei Tsh 1200000.00 Contact 0712652110. Dar .Pia Kama Nahitaji camera video camera za aina yeyote wasiliana na mimi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari! Nahitaji frame au office maeneo yafuataywo..! Msasani, makumbusho, mwenge, kijitonyama, mikocheni na sinza..! Mwenye kujua wapi zinapatikana, tafadhali nijulishe. Bei isizidi laki 2.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta toyota hiace iliyo kwenye hali nzuri. kama kuna mtu anayo aniambie bei anayouza. asante
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Maboki yanauzwa yapo pic 250 kwa atakae hitaji tafathali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa ilishawai kuvunjika kioo nikaweka kingine na haina tatizo kama uko interest nicheck inakama miezi 5 hivi toka ninunue.
0 Reactions
1 Replies
992 Views
We are Professional Engineers Registered by the Board of Engineers of Tanzania. You might need a close supervision of your construction works and the fund available for the works. Working with...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Hallo Wana JF, Natafuta External HDD 1TB/2TB Iwe ni Mpya au Slightly Used. Brand Name Can be Transcend/Samsung/WD or any Good Brand. Badget Yangu ni Tsh80,000
0 Reactions
1 Replies
832 Views
simu used kwa wiki 3 ina internal memory 16gb ina dual camera. Ina run 4.1.1 jelly bean Tuwasiliane kwa 0717022737
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…