Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu mambo vipi? Naitaji mtu wa kubadilishana nae simu mimi natumia samsung galaxy y pro... screen touch and keypad.... single line.... 3G. Naitaji kubadilishana na smart phone yoyote lakini sio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
details: gari ni toyota Alteza,Model Lexus is200,Model Number JTDB51,Engine Capacity 1762.,year1999,transmission:manual, serious buyers wani pm... deal on desk
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies). Aina ya mbwa ni German Shepherd Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4) Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP Bei: TZS 300,000/- Anayehitaji...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Mapambano yanaendelea. 0713 406865/0767 406866/0714 767850/0717660670. Asanteni kwa kuona kazi zetu. Mwakaleli enterprises
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Shamba linalouzwa ruvu mtoni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je wewe ni mjasiriamali na ungependa kufuga kwa faida fuga kuku chotara mayai yao utayauza ghaali pia wana nyama nyingi sana natotolesha vifaranga nakuuza karibu
0 Reactions
8 Replies
4K Views
NYumba inapangishwa Maeneo ya KIgambon mita chache kutoka Feri. Ipo umbali wa chini ya nusu kilometa kutoka Feri Ina Bedrooms kubwa 4 Seating room moja kubwa sana Dinning room moja Jiko (Kitchen...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza simu yangu moja aina ya Sony Xperia Ion HSPA (LT28h) Camera 12 Megapixel Storage 13 GB ina kimstari cha crek kwenye screen lakin hakiaffect utumiaji wa simu na hakionekan kwa urahisi. Bei...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wadau, Nauza BAJAJ MIGUU MITATU ZIKO DAR ES SALAAM KINONDONI MOJA NI T..BVV NA NYINGINE NI T...BKS RANGI YA BLUE ZOTE ZINA KADI HALISI,ZIMELIPIWA INSURANCE NA ROAD LICENSE MPAKA NOV...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namsteeeeeeeeeeeeeee! Jamani karibuni Marine Boards, grade 1, mali ya ukweli na uhakika. Kwa Daresalamu unakufkishia ulipo. 12mm ni 48,000 na 18mm ni 58,000. Nimebakiwa pisi 3,000 tu! Wahi maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji chumba kimoja cha kupanga.kiwe kikubwa na kizur,vyoo vizur na visafi,nyumb iwe na wapangaj wachache,mazingira mazur na maji yawepo..maneo ni mabibo,kinondon,nnyuma ya ubungo plaza..kama...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
In a very good condition,the final price is 200,000 tzsh... Serious buyer call 0764 468 469
0 Reactions
0 Replies
870 Views
simu ipo katika hali ya upya kabisa ..... 0688 06 10 10
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Kiwanja kipo karinu na barabara ya lami ya bagamoyoroad kipo mahali patulivu kama ujuavyo maji barabara na huduma zote muhimu huku mbezibeach hatuna tatizo, nyumba zimejengwa kwa mpango na ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa ntashukuru kupata bei ya kutoa hiyo gari from Dar port na gharama za TRA kiais gani, generally kwa CIF $3300. to dar port itakuwa TSH.ngapi hadi nchi kavu(kwa naaba ya tayari kwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nyumba ya vyumba 3,master bedroom moja Jiko na store ndani na nje Nafasi ya kupark magari 3 na ina fensi ya ukuta Iko tabata segerea mwanzoni kabisa Umbali kutoka kituo cha basi ni...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Nyumba ni nzuri ya kisasa,iko katika mazingira mazuri, inatumika kama dispensari kwa sasa. Bei ni Tshs 250 Milioni ila inapungua. Tuwasiliane 0715 46 74 47
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toyota corolla inauzwa bei ni tsh 6.8m, very fuel economy cc 1,385 na injini haijaguswa kabisa ni kuwasha na kuondoka tu popote inafika.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nashida ya laini ya m pesa na tigo pesa kwa wakala yeyote ambae anataka kuuza
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…