Nyumba inapangishwa-Tabata

Nyumba inapangishwa-Tabata

Luqxi

New Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Nyumba ya vyumba 3,master bedroom moja
Jiko na store ndani na nje
Nafasi ya kupark magari 3 na ina fensi ya ukuta
Iko tabata segerea mwanzoni kabisa
Umbali kutoka kituo cha basi ni approximately dakika 5(kituo cha mangumi)
Bei yake ni 450,000 kwa mwezi.
Kwa mahitaji Tafadhali nitafute kwa namba hii-0657311816
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom