Wakuu,
Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies).
Aina ya mbwa ni German Shepherd
Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4)
Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP
Bei: TZS 300,000/-
Anayehitaji aniPM tafadhali
Wana umri gani? Wanaweza kuchukuliwa toka kwa mama yao bila matatizo kuwalisha?Wakuu,
Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies).
Aina ya mbwa ni German Shepherd
Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4)
Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP
Bei: TZS 300,000/-
Anayehitaji aniPM tafadhali
Kaka GSD pure hawako hivyo, ni bora ungeandika cross ya GSD na Mbwa breed nyingine unayoijua. Sifa ya GSD hawana soksi miguuni. Hao puppy ukiwaangalia wana rangi nyeupe miguuni. Utaharibu soko lako wanunuzi wanapokuja kugundua umewatapeli. Ushauri wa bure. Mimi ni mtaalamu wa kuzalisha na kufundisha