Natafuta chumba cha kupanga

Natafuta chumba cha kupanga

ndesangao

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Nahitaji chumba kimoja cha kupanga.kiwe kikubwa na kizur,vyoo vizur na visafi,nyumb iwe na wapangaj wachache,mazingira mazur na maji yawepo..maneo ni mabibo,kinondon,nnyuma ya ubungo plaza..kama itakuwepo masta unipe bei...
 
Back
Top Bottom