Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji ku change aina ya simu. Nahitaji either s3,s3min,galaxy yoyote yenye internal memory kuanzia 8,sony experia yoyote yenye internal memory kuanzia 8. Mi nakupa simu tajwa hapo juu na elf...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bei ni 160000Tsh ipo vizuri haina tatizo lolote. Ni touch
0 Reactions
14 Replies
3K Views
bata wakawaida kama unahitaji wakufuga au kwaajili ya nyama utapata bila shaka lolote, na kama unahitaji wengi ukipiga no 0719891518 basi ujue unafikishiwa mifugo yako nyumbani kwako ukipiga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji laptop nzuri budget yangu 300k
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Heloo jf,anaehitaji iphone 4s mpya na original ani PM,price laki 8 nikisema origina namaanisha ni original nachukulia USA na sababu yakuiuza,,,,,nafanya biasha hyo
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Mwenye motorbike ya aina hiyo anipm tufanye biashara bajeti £200.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni toleo la simu za kampuni ya LG ambayo inatumia line 3. Nataka mpya. Ila zilishawahi kuuzwa katika tigo shop. Kama kuna mwanajamvi anafahamu duka zinapouzwa hapa dar anipe taarifa. Thanks.
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Nauza simu za smartphones zote unataka kwa bei za kwaida sana. Zina range from HTC, Samsung, iPhone, Sony Xperia, Nokia nanyigine. Chukua leo usi regret kesho. Numba za simu ni ; 0788188093 au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A brand NEW Lenovo Ideapad s300,inauzwa ni mpya iko kwenye BOX lake,imenunuliwa Terhan,Iran. Ina sifa zifuatazo: Screen 13.3 HD LED > > RAM: 4 GB > > CPU: Intel i3 1.9 G > > HDD: 500 GB > >...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
kwa wakulima wanaohitaji Tractors za kulimia za kununua au kukodi tuwasiliane PM me
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Nauli ya basi kutoka Dar hadi Kenya bei gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa mwenye aina hii ya njiwa.na anawauza.please tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
986 Views
wakuu nina laini ya M-PESA naiuza kwa Tshs laki 4 tu,anayehitaji anipm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza Rav4 kwa Tsh.8.5Milioni ! Serious buyer tuwasiliane kwa 0754880709/0713197585. ukitaka kuiona gari njoo segerea...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Karika kuhangaika huku na huku nimekutana na hili wazo la kuwa Agent Bank ya Equity moja ya faida waluniambia ni kuwa nawza kufungua ac za wateja, kutoa na kuweka fedha na commision yao ni 40% na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada kuhusu tofauti kati ya Final withholding tax and Non final withholding tax, Na jinsi ya kuzitumia katika kucompute Tax payable by installment katika form tajwa hapo juu. Thank you in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA ANAYETAFUTA KITABU CHA UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA KILICHOANDIKWA NA BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE TUWASILIANE KUPITIA NAMBA HIZI:- 0684 012 919, MIMI NIPO DAR ES SALAAM...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Yanahitajika mafuta ya nazi kwa wingi sana. SIFA ZA MAFUTA YANAYO HITAJIKA : 1. Yawe fresh palm oil. 2. Yanayo tumika kwa chakula . (...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, nina eneo lenye copper ore deposits kwa anae wajua wawekezaji wanao tafuta maeneo haya ani pm.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
natafuta used projector,iwe kwenye good condition. Pls call 0714 041313
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Back
Top Bottom