Wa mikoani vipi mkuu? Na sisi tufunge safari kuiona huko Dar?
weka picha
Gari imekwenda umbali wa km.142,203.
imeingia Dar mwaka,2012 ikitokea Japan, imelipiwa kodi zote haidaiwi
Imeingia 2002 na ina namba za kuanzia B??? Ulikuwa umeiweka wapi ikiwa bado na TZ? Usajili wa magari ulianza kubadili namba muda sana mkuu sasa kwa namba za B??? Hebu tupe ufafanuzi.
Umesema iliingia 2002? Usajili imeuwaje ina namba za kuanzia B? Mimi nilikuwa nayo niliingiza 2005 na Number ni T XXXX AXX!!!! Tueleweshe mkuu.
Kalioshe kwanza basi,
Aisee umefikiria mbali bro..nlikuwa sijawaza hicho kitu..duuh..!!Imeingia 2002 na ina namba za kuanzia B??? Ulikuwa umeiweka wapi ikiwa bado na TZ? Usajili wa magari ulianza kubadili namba muda sana mkuu sasa kwa namba za B??? Hebu tupe ufafanuzi.