2003
97800km
Full a/c
Radio, cd player
Nice car
Alloy wheels
Very super condition
Gari inatembea vizuri na inaweza safiri kokotee
Bei 7mil
0716398757
Serious buyers only
wadau mwenye kuweza kunisaidia kupata shamba la kununua morogoro lililo karibu na mto usiokauka. budget yangu ni 120000/ acre na napenda nipate walau acre 50 mwenye nalo tuwasiliane kwa mail...
Tanzania Country Program
PREQUALIFICATION NOTICE
FOR
SUPPLIERS AND SERVICES PROVIDERS OF GOODS AND SERVICES
IN 2014
1. Catholic Relief Services Tanzania Program intends to update its list of local...
Pc-tablet hyo hapo used kwa miezi 4 inauzwa,Ram 2gb,processor1.5ghz,32 bit os,64gb interna mmry na ina sehemu ya external mmry,front and real camera,4hrs battery life na ni touch tablet current...
Wakuu habari gani,
Natafuta chumba cha kupanga, naomba mwenye nacho aniPM au kama unaweza kuniunganisha na mtu mwenye nacho. Kiwe maeneo ya kinondoni, temeke, sinza au eneo lingine zuri karibu na...
Kwa wale wenye fursa ya kupata hotuba ya rais Jakaya kikwete aliyeitoa leo bungeni mjini Dodoma wakati akifungua rasmi bunge la katiba.
Mnaweza mkaiweka katika dvd na kuuza kwa watu. Kwa sababu...
SHAMBA /PLOT IN CHANIKA 2,238 FT2/682 M2:
Area: Dar Es Salaam / Chanika
Directions: Karibu na shule ya msingi Tungini-Chanika Masantula
1) Price: TZS 8,000,000
Square Feet/Meters: 2,238 ft2/682...
LG smartphone used but in mint condition, soory guys natumia simu so ntaweka details za muhimu kama nlivozipata kutoka kwa mhusika.
model ni LG-SU760
upgraded to OS android 4.0.4
internal memory...
Wadau wa magari kama nilivyoandika katika kichwa cha habari. Bajeti yangu ni mil 7 tu ila napenda kupata very good conditioned used alteza haijalishi iwe model ya lexus is au gitta ingawaje...
Wandugu,
Haijatembea bara bara za TZ
Nimeweka attachment katika format ya word kwasababu nimeshindwa kuiweka katika mfumo mwingine.
Specs:
Year 2003
OD: 100,350kms
CC: 1,500
Bei 10,000,000/=...
Hawa jamaa wanjiita Creative city homes au KOPA NYUMBA hivi sio mataperi hawa????
Embu kwa wale ambao wameshawasikia tufahamisheni kidogo.
http://kopanyumba.co.tz
Kopa NYUMBA® Sep13 | CCH
Audio cd za hotuba ya ufunguzi wa bunge la katiba la tarehe 21/3 , ipo tayari kwa anayehitaji kwa jumla ani pm , anipe idadi anayohitaji. Kuna watu wengi ambao hawakuisikia na wengine wanaohitaji...