Chumba cha kupangisha

Chumba cha kupangisha

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
332
Wakuu habari gani,

Natafuta chumba cha kupanga, naomba mwenye nacho aniPM au kama unaweza kuniunganisha na mtu mwenye nacho. Kiwe maeneo ya kinondoni, temeke, sinza au eneo lingine zuri karibu na kko.

Natanguliza shukrani za dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom