Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kichwa cha habari chajieleza kwa alieko Dar
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Heshima kwenu. kama kuna mtu ajua zipouzwa zile mashine za kumix juice tafadhali anisaidie
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau naomba maada kwa mtu anayejua hawa jamaa wanakopatikana mimi naishi dar kigamboni asanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu natafuta speed meter (dash board) ya Isuzu Bighorn ya 1998 yenye TOD kama ianvyoonekana kwenye pich hapa chini inayofanya kazi. Mwenye nayo ani PM as soon as possible. Kwa yeyote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu naitaji earphone ya Samsung galaxy nyeupe mwenye nazo afunguke tufanye business bajeti yng 5000/ cash npo dar number ya simu hiyapa 0713943432
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman wana jf mimi nina shida ya kuelewa tofauti ya hizo terms.nimetumia simu yenye otg(on the go support) ya nokia e6 imekuwa ikisoma flash bila shida na nimeenjoy hyo support using otg je hii...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Natumaini mko poa, nahitaji kununua deki ya DVD sijari kama ikiwa mpya au hata kama imetumika nachotaka isiwe inachagua kama zilivyo deki nyingi za kitaa, bajet yangu ni sh elfu 25, kama unao...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Ipo tabata kisukuru, ina vyumba 3 (kimoja masterbedroom) , ipo katika hali nzuri sana, 15 dakika kutoka external stand mpaka kwenye nyumba kwa gari, ina parking ya magari mawili madogo, umeme...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza chopping board,meat mincer na sahani. Sababu ya kuuza;nilikuwa nna mpango wa kufungua mgahawa ila nimebadilisha mawazo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunauza viwanja vilivyopimwa maeneo ya Mvuti,umbali wa mtupo wa jiwe(mita 60) toka lami. ni SqM 700,800,900(milioni 5) / SqM 400 (milioni 3.5). pameshajengeka na pazuri sana kwa makazi,kituo cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja chenye urefu m20 kwa m25,kinauzwa. Kipo Sombetini.Call 0715313676. Bei Tsh.20 million.Negotiable
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nataka kuanzisha duka la stationeries mikoa ya pembezoni ambapo nimeona kuna opportunity za biashara hiyo, ila changamoto ni wapi naweza kupata supplier wa vifaa vinavyohitajika hasa Dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
D,12v150ah
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Tunauza viwanja vilivyopimwa maeneo ya Mvuti,ni umbali wa mtupo wa jiwe (Mita 60) toka lami. ni mahali palipojengeka tayari,mazingira ni tulivu sana,jirani na kituo cha basi. ukubwa ni SqM...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kma una smart phone yoyote kati ya hizo juu tafadhali taja bei tumake biz.nes...bajet yangu 100000-150000 karibuni pm
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji yakununua gari aina ya hice..iwe katka good condition..ni pm km unayo
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Wadau, Kama ambavyo tangazo limejieleza. Nahitaji Laptop kwa hiyo bei lakini iwe angalau na features zifuatazo: Ram - at least 1 GB HDD - at least 150 GB Web cam - available DVD Rom...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu ofisi inapangishwa na ipo karibia na maeneo ya ubungo Ina ubora ufuatao 1. Ina AC 2. Desktop Computer i 3. Meza kubwa,viti 3 makabati ya kuwekea vitu, kabati ndogo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko Dar nimepata mchongo mpya nashindwa kuendeleza hii biashara. Waweza kununua vitu vyote vya stationery kwa bei nafuu kabisa au ukanunua vile ambavyo unapenda tu. Ipo pia Photocopy (canon -...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni yetu inahusika na kuagiza na kuuza vitu vya electronics, computers, laptops, projectors etc. Kutokana ni ngumu kuagiza simu chaguo la kila mteja anayoitaka, tunachukua fursa hii kuwapa...
9 Reactions
170 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…