Wapi nipate bei nzuri za jumla za vifaa vya stationeries

Wapi nipate bei nzuri za jumla za vifaa vya stationeries

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Wadau nataka kuanzisha duka la stationeries mikoa ya pembezoni ambapo nimeona kuna opportunity za biashara hiyo, ila changamoto ni wapi naweza kupata supplier wa vifaa vinavyohitajika hasa Dar es salaam kwa bei ambayo ni competitive.Huko nilipo kuna stationeires kama sita hivi lakini ni za kawaida tu na ni za business as usual. Target yangu nataka kujikita katika kuwa sole supplier katika eneo ili kwa vifaa vingine mbalimbali vya ofisi na wakati mwingine kuuza kwa jumla kwa wafanyibiashara wa kawaida wa vifaa kama hivyo. wadau mliobbea katika biashara hii naombeni ushauri wenu
 
mkuu siku ukianza biashara na unahitaji bidhaa zaidi njuze niwe mmoja wa watu wanaokuletea kwa bei maelewano.
 
Back
Top Bottom