Wadau naomba maada kwa mtu anayejua hawa jamaa wanakopatikana mimi naishi dar kigamboni asanteni
Dah nilijisahau kaka... Wa kwanza ni huyu 0714 116 247.... Na mwingine anaitwa Rashidi 065 638 9066. Bado sijafanya nao kazi japo nilichukua details zao kwani nataka kuchimbia pia. ukifanikiwa utatuletea mrejesho kaka. Kila jema
Wadau naomba maada kwa mtu anayejua hawa jamaa wanakopatikana mimi naishi dar kigamboni asanteni
Kaka nilikosea, Ni M3.Mdau garama aizidi laki tatu? Ni cha aina gani icho mkuu