Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Get yourself a Brand New Pearl White Nokia Asha 200 (Kgtel) at a discounted price of Ksh 6000.00 FEATURES OF THE PHONE INCLUDE:- FM Radio Bluetooth Video Recording MP3/MP4/3GP 2.2-inch TFT...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Lipo ktk hali nzuri halijatumika hapa ni ya mwaka 2007 ukubwa wa engine cc 1300 bei 9500000 milioni tisa na laki tano,rangi ni silver metalic.Nipigie 0784447944 Sent from my BlackBerry 9800 using...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gauni sh 30000, sketi sh 15000, high heels sh 50000, flat shoes sh 20000, tupo sinza mori wsliana nasi 0657690970.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
wanajf msaada kama kuna sehemu kuna kadi za tigopesa au m-pesa tuambiane maana nilienda tigo walisema zimeisha sijalibu voda.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari aina ya RAV 4 inauzwa,mileage 27000km, petrol auto, 2300cc, manufacture 2007, colour green, full AC, gari iko kwenye hali nzuri, made from japan,wasiliana nami 0657690970, bei ni mil 45 Tsh.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamvi mwenye kuuza Playstation 3 tuwasiliane.....
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Nauza Toyota IST(2005) straight from Japan Registration Year / Month 2005/02 Mileage 61,308 km Displacement 1,500 cc Steering Right Transmission Automatic Fuel Gasoline/Petrol
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu naomba kujuzwa sehemu yenye mafundi wazuri wa Sofa za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti hapa Dar
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tv hitach flat Mbele na nyuma Inachogo kidogo Nchi 21= 235,000 Deck simsang =40,000 Tv table=...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dawa za kusafishia pesa nyeusi anayehitaji ani PM
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Hello guys! kitanda 5x6 cha hardwood na godoro lake la dododma inch8 vinaunzwa kwa bei ya kutupa kwa vyote only 350,000/= vimetumika kwa miez4 tu sababu ya kuviuza nimepangiwa kazi UKELEWE so...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mitsubish lancer, cc 1400, bei 5.5mln
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Napangisha apartment ipo gorofa ya nne ( 4th floor ). Ina vyumba vitatu kimoja ni self contained. Ukumbi na jiko. Gorofa ina lift japo bado haijafungwa maana ni mpya. Samahani...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habari wadau,ninauza friji la vinywaji la westpoint milango miwili,limetumika kama miezi 6 na bado lipo kwenye hali nzuri,bei laki 9.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wadau, naulizia bei ya treated timber kwa futi au mita 1 na mahali napoweza kuzipata kwa ukaribu ili kuzifikisha mbagala rangi tatu!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa no cha kwangu kipo mbezi malamba mawili bei poa namba ya mawasiliano ni 0717081592,0659498338 heka moja
1 Reactions
3 Replies
863 Views
Inchi 42 shs 880,0000 nimeitumia mwezi mmoja tu ina port zote muhimu kasoro usb.unaeza iweka ukutani au mezani.ni ya mtumba kutoka zanzibar.na nyingine nyingi zunapatikana kwa atakayehitaji ani pm
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Line ya tigo inauzwa chap chap nchek 0719004668... bei yake 800000 ila inapungua kwa maongezi..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna Mpesa till ninauza, yoyote mwenye interest ani PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Nokia asha 303.ina watsup Na internet ynye kasi ,CMU imetumika kwa muda lakni bado ipo vizur.CMU Ipo dodoma pm kwa mawasiliano
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…