D dgratius JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 218 Reaction score 11 Apr 6, 2014 #1 Line ya tigo inauzwa chap chap nchek 0719004668... bei yake 800000 ila inapungua kwa maongezi..
babalatifa Member Joined Aug 17, 2013 Posts 29 Reaction score 0 Apr 10, 2014 #2 laki 2 cash ipo, ni pm no yako
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,809 Apr 10, 2014 #3 Jamani line za TiGo si tunatangaziwa kila siku zinauzwa 500 na unarudishiwa pesa yako? Au kwa kifupi ni kama bure. Nashindwa ku comprehend, au ni code word ya kuuziana madawa ya kulevya? au hizi tigo mnazotangaza kwa bei hiyo ni zile tiiigo za ki-JF.
Jamani line za TiGo si tunatangaziwa kila siku zinauzwa 500 na unarudishiwa pesa yako? Au kwa kifupi ni kama bure. Nashindwa ku comprehend, au ni code word ya kuuziana madawa ya kulevya? au hizi tigo mnazotangaza kwa bei hiyo ni zile tiiigo za ki-JF.
Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,896 Reaction score 1,214 Apr 10, 2014 #4 Mkuu niungaanishe na huyo anaekuuzia 500 na pesa anakuwekea Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Mkuu niungaanishe na huyo anaekuuzia 500 na pesa anakuwekea Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,809 Apr 10, 2014 #5 Kiboko. said: Mkuu niungaanishe na huyo anaekuuzia 500 na pesa anakuwekea Sent from my iPhone using JamiiForums.���� Click to expand... - Pita kwa wakala wowote wa TiGo pesa, zingine hata mitaani wanatembeza.
Kiboko. said: Mkuu niungaanishe na huyo anaekuuzia 500 na pesa anakuwekea Sent from my iPhone using JamiiForums.���� Click to expand... - Pita kwa wakala wowote wa TiGo pesa, zingine hata mitaani wanatembeza.