amina paggy
Member
- Jul 14, 2013
- 37
- 1
Gari aina ya RAV 4 inauzwa,mileage 27000km, petrol auto, 2300cc, manufacture 2007, colour green, full AC, gari iko kwenye hali nzuri, made from japan,wasiliana nami 0657690970, bei ni mil 45 Tsh.
Gari zuri sana, ila hiyo cc ni ya injini ya ndege
Bei vipi? tujuze
Bei ni sh mil 45
Gari zuri sana, ila hiyo cc ni ya injini ya ndege
Bei ni sh mil 45
Gari zuri sana, ila hiyo cc ni ya injini ya ndege
Sorry ni 2300cc