Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina 600k nahitaji LG G2 Kama unayo npm..
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habari zenu wanaJF, Nina nyumba yangu mpya kabisa iko maeneo ya Mbezi Beach karibu na kota za B.O.T nyumba ina vyumba viwili masterbedrooms,sebule kubwa( sitting room),jiko( kitchen) ,baraza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Huwawei y 200 inauzwa elfu80 na htc 8s window 8 inauzwa bei poa 250,
1 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta mtua anaeuza machine ya selcom,Tafadhali ni~PM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza printer Canon pixma ip4700 ina print picha, CD/DVD na paper printing. Ni used haina tatizo lolote utanunulia wino tu. Bei ni sh 200,000/=, Mwenye kuhitaji aseme nimpe mawasiliano au ni PM.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji chumba cha kupanga cha biashara kiwe maaeo ya manzese magomeni au tandare.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji line ya tigo pesa till ambayo ipo active ....tuwasiliane kwa number hii kama unayo na unauza...0714604974
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Kama nilivyojieleza hapo juu kuwa nahitaji SILENT GENERATOR KV 15 au 20. Liwe made in Japan au Europe...na lisiwe limetumika sana. Najuwa kuna baadhi ya makampuni kama ATLAS na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
chumba kiwe alongside the road(sam nujoma road) opposite na mlimani city. napatikana kwa namba 0713532322
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Laini ya mpesa (kuwa wakala )lain inauzwa Kama utaitaji 0755145638
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biashara. Size: Futi 11 kwa futi 9. Napatikana Dar es salaam. Anayehitaji nigongee 0764771255. Pia nauza Internet Modem ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina 16GB memory, 2GB RAM, 8MP camera na 4.0 android na inatumia 3G
0 Reactions
5 Replies
942 Views
Naomba msaada wenu wana jf,natafuta mkopo wa biashara kama 600,000 Tsh.Nitaupataje na masharti yao ni yapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama heading ilivyo hapo budget yangu ni 400000 Tshs iwe iko poa haina tatizo i dont care much about brand names except mchina wa ajabu mfn landrover etc. PM ukiwa tayari kwa kuuza.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza Rupia orijino kabisa nimeipata kwa babu kwa mashariti makali. Hakuna maelezo au punguzo Bei Tshs 1,000,000,000/ bilioni moja.
0 Reactions
21 Replies
7K Views
nauza simu tajwa hapo juu ni nyeupe... 330000/= nitafute niwatsaap au text me 0714533946... imetumika mwezi mmoja tuu... sababu ya kuuza ni kuwa nna nyingine
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba ushauri wenu kuhusu toyota ist engine size 1290cc, kama ni gari yenye madhaifu gani? Maana ndo gari kwa kiwango changu naona itanifaa ila nahitaji ushauri wenu wakuu natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam.! Nahitaji Subwoofer iwe na sifa zifuatazo- FM Radio Uwezo wa kuplay Kwa flash disk Uwezo wa kuplay na memory card Uwezo wa kuunganishwa na vifaa vingine kama tv,computer nk Mwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau ni htc ipi ni nzuri kwa matumizi ya internet na applctn nzuri yenye bei nafuu.napenda kufahamu ili niachane na mchina
0 Reactions
1 Replies
2K Views
New Boxed Android Tablet Pc's, 4GB, 7" Screen Capacitive, Cortex A8, Camera + Keyboard&Screen: bei 220,000/= contacts: 0716-904626, 0767-174757, Arusha. Specifications: Brand: Allwinner A13...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom