Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo Tegeta Dar es salaam, haina tatizo lolote. engine ipo safi na nimeifunga mwaka jana mwezi wa kwanza,.hapo ni kuwasha na kuondoka. bei ni 35 milioni hakuna dalali, ni mimi mwenyewe hivyo...
1 Reactions
0 Replies
548 Views
Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB...
1 Reactions
0 Replies
447 Views
Car GPS tracker GPS ni kifaa cha kisasa kinachotumia teknolojia ya Global Positioning System ili kubainisha kwa usahihi eneo la gari kwa wakati halisi. Kifaa hiki kimezidi kuwa maarufu kutokana na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tv ni frameless full box ni mpya mwenye kuitaji anicheki +255 655226738
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nauza kiwanja Kibamba Gogoni Dar, ukubwa wa mita 20 kwa 20, umbali wa km 1 toka stand /Morogoro road, miundombinu ya maji na umeme pamoja na barabara vipo. Bei ni 8 millions(mazungumzo yapo)...
1 Reactions
3 Replies
936 Views
Iwe Dsm Iwe Kigamboni, Changanyikeni, Kawe, Makongo Juu, Mbezi Beach, Goba, Salasala, Tegeta, Wazo, Mbweni, Boko, au Bunju. iwe na eneo la kutosha iwe inafikika kwa gari (gari iingie hadi ndani...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA maeneo yote ya Kigamboni, Bunju, Mbweni, barabara ya Bagamoyo Iwe na vyumba 3 at least 2 self-contained, Lounge , Dinning Iwe nje...
1 Reactions
8 Replies
928 Views
Nyumba inauzwa viwanja viwili ndani ya fence . Vyumba vya Kula 2 self Chumba Cha Kulala Cha nje 1 Sebule na dinnning Public toilet Fence Eneo 57*35 Location. Bendera tatu / Kona ya mzungu Price...
1 Reactions
7 Replies
694 Views
Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza...
2 Reactions
2 Replies
526 Views
Mwenye hiyo subwoofer nahitaji tu exchange nimpe Seapiano sp 616 Ina miezi miwili tu Naongeza na hela elfu 90. 0756412380
3 Reactions
0 Replies
727 Views
Tunafundisha masomo ya ziada kuanzia baby class Hadi kidato Cha tatu. Mwanafunzi atafuatwa Hadi nyumbani kwa ajili ya kupatiwa huduma hiyo kwa bei nzuri. Hivyo kama kuna wazazi wanahitaji huduma...
1 Reactions
0 Replies
510 Views
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.? Gastroesophageal reflux disease (GERD); ⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid)...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu zangu, kwa yeyote ambaye atahitaji chai au chakula kwa ajili ya staff, saiti members, sherehe ndogo, mtu binafsi, kampuni, asisite kuwasiliana na sisi +255758131425. Tunapika...
0 Reactions
11 Replies
665 Views
EI 130k,location kibaha
1 Reactions
4 Replies
429 Views
Kama Kichwa Cha habari kinavyoeleza Nauza Radio yangu ya JBL flip 5 ipo katoka Hali nzuri Inabase na sound nzuri Inakaaa na charge up 12 hours Radio ni very clean (Kwa wanaojua JBL wanajua...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni ina vyumba 3 Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet main room[master room 1]na choo chake Dining room jiko sebule pia banda lake la nje lina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Mashine ya kukata viazi vya chips Ina meno saizi nne tofauti. Nakupa na meza yake. Bei 270000Tshs Nipigie 0625697394
1 Reactions
0 Replies
458 Views
Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi...
2 Reactions
6 Replies
844 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…