Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nimekwenda sehemu za mkoa wa pwani bush kabisa nimekuta vijana wa bodaboda wananunua petroli ya.kulima kwa chupa. Nomeshawishika niwajengee angalau kituo simple cha petrol. Swali kituo simple...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye laini za safaricom naomba uniambie ulipo nije kununua ukiwa Tanga,Arusha au Dar itapendeza zaidi
1 Reactions
32 Replies
5K Views
imeuzwa!!
1 Reactions
0 Replies
794 Views
Nahitaji anaeuza sukari nyeupe ila sio k.k Mwenye anaweza pata namjomba pm
1 Reactions
1 Replies
936 Views
habar ndug wafugaj wenzang, polen na changamoto za maisha ya ufugaj, kama mada inavyojieleza hapo juu kwa wakazi wa handeni-tanga naomba kwa anaetoa huduma ya kutotoresha mayai aina zote bac...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
MaDish Installers Tunafunga mifumo ya ulinzi kwa kutumia:- CCTV cameras Electric fence Alarm system Intercom Na mengineyo na wakati huu tuna punguzo maalum kwenye kufunga Electric fence kwa...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Mwenye machine tajwa au anae jua wapi naweza pata naomba anijuze
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Habari zenu wakuu Kiwanja kinauzwa kigamboni njia ya kwenda changani beach Dege kituo kinachofuata Kiwanja kimepimwa na kina hati Huduma zote za kijamii zipo Ukubwa wa kiwanja ni 587 Sqmt...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nafanya kazi kwa uwaminifu kabisa kwa mawasiliano number 0766-334872 ndani ya Dar es salaam nafikapopote pale
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Harrier inauzwa Bei ni 18m Engine capacity ni 2360cc Imetembea KM 93000 Inapatikana Dar Piga 0698235368
2 Reactions
4 Replies
567 Views
WADAU, NOAMBA USHAURI. NITAJI KULETA MIFUGO (MBUZI NA NGOMBE) KUTOKA KARAGWE (KAGERA) KUJA BUNJU DAR ES ALAAM, NAOMBA CONNECTIONS ZA USAFIRI AU WASAFIRISHISHAJI WANAUOWEZA KUNIFANYIA KAZI HII...
1 Reactions
9 Replies
809 Views
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni mashine mpya kama inavyoonekana pichani. 160 AMP Single phase. Bei 450000
0 Reactions
3 Replies
595 Views
Natafuta mtu mwenye connection ya wateja wa Viazi (Irish potato) aliyepo Dar es salaam. Nipo Njombe Kwa aliye tayari call me [emoji116] Tel: 0654629098
2 Reactions
4 Replies
556 Views
Habari Naomba kuelekezwa mahali wanapouza hii mifuko kwa bei ya jumla kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani, Asanteni
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Utapata Miche ya Matunda ya Muda Mfupi kwa Bei Ile Ile Ya Tsh 2500 Tu. Hii ndio Aina ya Miche Inayopatikana Kwenye Bustani Yetu Iliyopo Hapa SUA Morogoro. 1. Embe Aina 7 2. Parachichi Aina 3 3...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nataka kununua godoro 5 kwa 6 bei ya kiwandani inakuwaje? Kwa anaejua anielekeze please
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo Bagamoyo karibu na plot ya Bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali. Piga kwa maelezo zaidi 0715160365. Ni mali yangu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom