Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndungu Wana jamii forum nahitataji kujua kwa mwenye kufahamu mm ni mfugaji na nahitaji kufahamu soko la bata bukini nasikia wachina wananunua au kwa mwenye connection ya mahitel Anipatie nami...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Umeshawahi kukutana na mteja alafu haujui utaongea naye nini ili uuze kwa wepesi bidhaa yako? ⁣ ⁣ Au umekutana na mteja alafu ukaongea naye kuhusiana na bidhaa yako lakini mwisho wa siku anakwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Subaru Forester inauzwa kwa bei poa kabisa Ni shilingi 20m tu Ipo Dar es Salaam Kwa maelezo zaidi piga 0698235368
2 Reactions
1 Replies
566 Views
Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo) Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu. Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Mambo vipi wakuu! Kwa anayehitaji kwenda Moshi kwa ajili ya kushiriki Kili Marathon, nitaondoka jioni ya tar 23 Ijumaa na gari binafsi, 5 seater, so nna nafasi ya watu 4! Kurudi jumapili jioni...
2 Reactions
5 Replies
506 Views
Taa ya mbele suzuki swift Taa ya nyuma toyota blade Taa ya nyuma toyota spacio MZIGO USED DUBAI Tunauza Spea za gari ndogo aina zote Kama vile Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Radiator...
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Laptop [emoji335] Printers [emoji2774] Stationers [emoji3581] Nipigie simu +255659167416 Tufanye biashara Bei za Kizalendo
0 Reactions
6 Replies
642 Views
Kwa wapenda kilimo!! Naona youtube mashine hizi nyingi nyingi sana!! Je kama hizi ndogo ndogo kwa bongo zinauzwaje??
1 Reactions
5 Replies
769 Views
Room for Rent The following Kitchen & Living Room Bedroom, Bathroom & Toilet Others Cupboard Water Heating Ceiling Fan etc Room is for Bachelor's Only Msasani Beach Price Tsh 800,000 per...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Hizi ni nguo za mnadani za watoto kuna kiroba cha nguo 100 kwa elfu 50 Zinapatikana Bunju A Dar es Salaam Ukitaka kuja kuziona nitafute kwa namba 0684848801 NI NGUO ZA WATOTO TU ZA MTUMBA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama uzi unavyosema, nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani; sofa, friji, kitanda, magodoro, TV, meza ya TV. Vitu vyote vipo Kigamboni Kibugumo. Sofa 200,000 Tv solarmax 32"...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Location : Moshi, Kilimanjaro Bei 150000 Mawasiliano : +255621396850
0 Reactions
3 Replies
357 Views
Inashona, inadarizi, inapiga zigzag n.k Mashine imekamilika na pedal zake Bei : 200000 Location : Moshi , Kilimanjaro Mawasiliano : +255621396850 Karibuni
1 Reactions
7 Replies
539 Views
Nauza simu yangu kwa shida za kifedha. Details kama internal memory ni 64 GB RAM ni 3GB Bei 190,000 Niko old moshi ...Moshi mjini Mawasiliano 0756294771....karibuni wandugu .........
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Mambo yakuzingatia Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
TVS DKS 1.35m Maelewano yapo Piga 0628 880 380 Iko poa sana Maelewano yapo, wahi hii offer kuicheki bureeee Engine haijaguswaa.
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…