Hbr wanajamii ebhn nauza opa bd mpya imetembea km 84000,cc yake 1790 ya mwk 2001 bei ni poua karibia na bure nicheck kwa hz no 0768359292 na 0652359291 biashara ni maelewano u ar wlcom pics chin hapo
Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni fundi mwenye ujuzi wa umeme wa mionzi ya jua(Solar Power) kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Nina elimu ya ufundi wa umeme wa majumbani ngazi ya cheti niliyoipata VETA...
Wadau kiwanja kinauzwa kwa bei ya chini sana maeneo ya mbezi mwisho njia ya kuelekea goba, kuna matatizo ambayo yanahitaji pesa ha haraka. ni mita 20×20, milion nane tu inatakiwa. Kwa mwenye...
nyumba hii inapangishwa iko tabata kimanga. ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master ,dinning,sitting,jiko,store na public toilet. imezungushiwa uzio,car parking ya kutosha,maji ya...
Nyumba hii inapangishwa. Ina vyumba vitatu, kimoja ni master, dinning, sitting, jiko, store na public toilet. Maji ni ya uhakika, umeme ni luku yako, parking ya gari na imezungushiwa uzio kodi ni...
Eneo la karibu na baharini linauzwa Kigamboni km 17 kutoka ferry.
Eneo hilo la ukubwa wa heka 10 liko umbali wa mita 300 kutoka baharini.
Maji yanapatikana karibu kwa kudrill na umeme uko...
Toyota SUrf
T...ADF
automatic
fuel diesel
cc 2982
odometer 180,000 KM
Rav4 2005 for sale 24Million
T...DAH
cc 1900
automatic
CONTACT 0714478797
GARI ZIPO ARUSHA
VIFAA VYA SALON COMPLETE SET INAUZWA,
NINA HAMA....BEI CHEE
dryer-ya kawaida 2
steamer 1
kiti cha kuoshea 1
pallet ya rollers 2
Pasi 1
Dryer ya mkono 1
kochi la seat mbili 1
BEI: MILLION 5 TU...
Kiwanja kinauzwa kipo Kwembe, kinapakana na Mradi wa Compus Mpya ya Muhimbili University. Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 2,600. Kime pimwa lakini hakina hati, hati utafuatilia mwenyewe.
Kinafaa...
Natafuta gari la kununua (Dar)
Engine isizidi cc 2,000,
Liwe kwenye hali nzuri,
Makes ninazopendelea ni
Toyota, Suzuki,
Budget yangu ni 4m
Sipendelei saloon cars.
Nipe offer yako na picha ukitaja...
Habari zenu wadau?
Mimi nilikuwa napenda kufahamu ungependa upate viungo gani vya chakula ambavyo vimeshaandalliwa na kufungashwa ili kurahisisha mapishi yako.... yani nipe mawazo yako ni viungo...
nauza program za computer za kila aina kama vile window8,7,xp,office 2007,2010,2003,nero,video edit,photo edit,program ya kubadili pdf document na word document,fl studio,za kuchorea raman za...
Habari gani wakuu? Nimewaletea habari njema!
Nauza viwanja KIgamboni eneo la Mwasonga ambalo liko baada ya Dsm Zoo.
Eneo ni zuri sana, maji yako karibu, panafaa kwa ufugaji wa samaki, kuku...
kiwanja cha ukubwa wa 628 sqm kilichopo kigamboni karibu na kota za nssf. Kiwanja kina jengo ambalo limefika kwenye lenta.
Bei ya kuanzia ni 50m; maelewano yapo
0718730579
0763092814