Nyumba inapangishwa Tabata Kimanga

Nyumba inapangishwa Tabata Kimanga

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Nyumba hii inapangishwa. Ina vyumba vitatu, kimoja ni master, dinning, sitting, jiko, store na public toilet. Maji ni ya uhakika, umeme ni luku yako, parking ya gari na imezungushiwa uzio kodi ni laki tatu(300000) kwa mwezi, inahitajika kodi ya miezi 6 MAWASILIANO #0714358610
 

Attachments

  • IMG-20140915-WA0000 - Copy.jpg
    IMG-20140915-WA0000 - Copy.jpg
    99 KB · Views: 219
  • IMG-20140915-WA0001.jpg
    IMG-20140915-WA0001.jpg
    83.6 KB · Views: 203
  • IMG-20140915-WA0002 - Copy.jpg
    IMG-20140915-WA0002 - Copy.jpg
    78.3 KB · Views: 196
  • IMG-20140915-WA0004.jpg
    IMG-20140915-WA0004.jpg
    99 KB · Views: 202
  • IMG-20140915-WA0005.jpg
    IMG-20140915-WA0005.jpg
    96.1 KB · Views: 192
  • IMG-20140915-WA0006.jpg
    IMG-20140915-WA0006.jpg
    76.6 KB · Views: 201
  • IMG-20140915-WA0008.jpg
    IMG-20140915-WA0008.jpg
    138.6 KB · Views: 202
nimependa,umeweka na bei kabisa.maana wengi humu hawajiamini kwenye suala la kuweka bei.
 
Huu uzi kama unefanyiwa edit???
Au hii ni nyumba nyingine mkuu dip pub???
 
Last edited by a moderator:
mkuu kalimizzle nyumba ni ileile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom