MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
Hahaha,Asante mkuu,
lakini Picha umepiga kwa kuibia,maana hata kwenye Gari umeogopa kushuka.
Weka picha nyingine basi za hiyo surf. Na taarifa nyingine. Manual/Auto


Kalavani bei gani?
SURF IMESHANUNULIWA NIMEBAKI NA HIZIView attachment 190157View attachment 190158View attachment 190159
Kama utahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672
...ahaa haaa! mkuu inaonekana wewe ni mtaalam wa kupiga picha wakati ukiwa ndani ya gari jingine "SURF, HIACE"
Hiyo vitz unauzaje?
Milioni 12
Mbona unatuchanganya,kuna post uliweka hili tangazo la Caravan na ukasema imeishauzwa.
Mara umeulizwa umesema bei 12m.
Kisha SURF imeuzwa,then ukachomekea post nyingine.
Mkuu hembu kuwa specific watu wasije kukuchoka.Maana JF wakichoka kitu basi hata ukipost cha uhakika wanakupotezea