Viwanja Kigamboni Mwasonga Milioni 1 tu kwa heka.

Viwanja Kigamboni Mwasonga Milioni 1 tu kwa heka.

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Habari gani wakuu? Nimewaletea habari njema!

Nauza viwanja KIgamboni eneo la Mwasonga ambalo liko baada ya Dsm Zoo.
Eneo ni zuri sana, maji yako karibu, panafaa kwa ufugaji wa samaki, kuku, Ng'ombe, mbuzi, na wanyama wengine kwani hakuna milipuko ya magonjwa wala mbung'o wanaodhuru ng'ombe.

Pia eneo linafaa kwa kilimo cha matikiti, Bamia, viazi vitamu, mchicha na mboga nyingine za kibiashara.

Eneo lilipo pana miradi miwili mikubwa ya ujenzi wa makazi ya watu ambayo iko chini ya vyama vya ushirika(Saccos) , Mradi wa maji wa Dawasco ambao wamechimba zaidi ya visima vinane vya kisasa vyenye kina kwa ajili ya kusambaza maji kwa wakazi wa maeneo hayo na yote yaliyo karibu.
Eneo liko mbali na mradi wa mji mpya wa kigamboni na haliko kwenye utaratibu wa mradi huo wala mwingine wowote kwa hiyo ni salama kwa uwekezaji na makazi pia.

Bei ya heka moja ni sh. 1000,000/= .
Karibuni Mchangamkie fursa hii! Piga 0686555726
 
Ni umbali gani kutoka Kigamboni mjini??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona mhusika hajibu maswali ?

Magumashi Matupu na Alitaka Kutuingiza Vyoo Tofauti Tofauti. Hivi Wewe Kwa Akili Yako tu Eneo Nyeti Kama Lile Uuziwe Uwanja AU Eneo Kwa Bei Ya Kutupa Tsh Milioni Moko Si Angeshapata Wateja Muda Mrefu tu? Eneo Lenyewe Lina Walakini.
 
Ni umbali gani toka feri? Pia kwa taarifa tu kabla mtu hujaenda kukubali kununua, nenda kaone eneo. Ukimaliza nenda ardhi mchukue mtu wa mipango miji atakuwa mambo yote kama eneo ni salama kwa either haliko katika master plan au kama liko na master plan basi limeandaliwa kwa matumizi gani. Kama halina master plan ni kuchangamka halafu unalipia wanatengeneza ila kwa Kigamboni nina mashaka kama kutakuwa na kazi kama hizo za utengenezaji wa kugharimiwa na mtu binafsi!!! Anyway, asante kwa biashara. Ngoja waje wahitaji. Mimi nasubiri vya serikali vya kuuza au wenye vocha zao.
 
Magumashi Matupu na
Alitaka Kutuingiza Vyoo Tofauti Tofauti. Hivi Wewe Kwa Akili Yako tu
Eneo Nyeti Kama Lile Uuziwe Uwanja AU Eneo Kwa Bei Ya Kutupa Tsh Milioni
Moko Si Angeshapata Wateja Muda Mrefu tu? Eneo Lenyewe Lina
Walakini.

Si vibaya kutoa mawazo yako, lakini mawazo yako ni potofu. Kuuza eneo ni maamuzi ya mmiliki na hata kupanga bei ni maamuzi yake pia kutokana na mahitaji aliyonayo na uharaka wa kuyatatua, sidhani umefikiria vya kutosha.
 
Ni umbali gani toka feri?
Pia kwa taarifa tu kabla mtu hujaenda kukubali kununua, nenda kaone
eneo. Ukimaliza nenda ardhi mchukue mtu wa mipango miji atakuwa mambo
yote kama eneo ni salama kwa either haliko katika master plan au kama
liko na master plan basi limeandaliwa kwa matumizi gani. Kama halina
master plan ni kuchangamka halafu unalipia wanatengeneza ila kwa
Kigamboni nina mashaka kama kutakuwa na kazi kama hizo za utengenezaji
wa kugharimiwa na mtu binafsi!!! Anyway, asante kwa biashara. Ngoja waje
wahitaji. Mimi nasubiri vya serikali vya kuuza au wenye vocha
zao.

Mwasonga haiko kwenye mradi wowote. Mji mpya wa kigamboni umeishia kibada napo umechukua eneo dogo ndio maana unaona nyumba mpya zinafumka maeneo hayo kila kukicha, hakuna anaeweza kuchukua risk ya namna hiyo wakati akijua muda wowote ataondolewa.
 
Asante mkuu, ila hujanijibu kuhusu umbali tokea feri kwa kukadiria ni kilometer ngapi? Mimi si mwenyeji wa Kigamboni wala kupafahamuvizuri. Hivi Gezaulole na Mwasonga wapi mbali?
 
si vibaya kutoa mawazo yako, lakini mawazo yako ni potofu. Kuuza eneo ni maamuzi ya mmiliki na hata kupanga bei ni maamuzi yake pia kutokana na mahitaji aliyonayo na uharaka wa kuyatatua, sidhani umefikiria vya kutosha.

habari gani wakuu? Nimewaletea habari njema!

Nauza viwanja kigamboni eneo la mwasonga ambalo liko baada ya dsm zoo.
Eneo ni zuri sana, maji yako karibu, panafaa kwa ufugaji wa samaki, kuku, ng'ombe, mbuzi, na wanyama wengine kwani hakuna milipuko ya magonjwa wala mbung'o wanaodhuru ng'ombe.

Pia eneo linafaa kwa kilimo cha matikiti, bamia, viazi vitamu, mchicha na mboga nyingine za kibiashara.

Eneo lilipo pana miradi miwili mikubwa ya ujenzi wa makazi ya watu ambayo iko chini ya vyama vya ushirika(saccos) , mradi wa maji wa dawasco ambao wamechimba zaidi ya visima vinane vya kisasa vyenye kina kwa ajili ya kusambaza maji kwa wakazi wa maeneo hayo na yote yaliyo karibu.
Eneo liko mbali na mradi wa mji mpya wa kigamboni na haliko kwenye utaratibu wa mradi huo wala mwingine wowote kwa hiyo ni salama kwa uwekezaji na makazi pia.

Bei ya heka moja ni sh. 1000,000/= .
Karibuni mchangamkie fursa hii! Piga 0686555726

vp kuhusu mashamba ya kukodisha yapo?
 
Ukitaka kupimiwa kiwanja kabla ya kununua na mtaalam kutoka ardhi makao makuu ni PM
 
Ukitaka kupimiwa kiwanja kabla ya kununua na mtaalam kutoka ardhi makao makuu ni PM
mkuu mie nme fanya amendment ya ramani naomba kma kuna uwezekano wa kuipitisha kwa haraka tuongee.
 
Ukitaka kupimiwa kiwanja kabla ya kununua na mtaalam kutoka ardhi makao makuu ni PM

Mkuu mimi nina shamba la ekari mbili huko Mbezi Mbopo naomba nijulishe mchakato wa kuweza kulipima.
 
mkuu mie nme fanya amendment ya ramani naomba kma kuna uwezekano wa kuipitisha kwa haraka tuongee.

Imekugharimu sh ngapi kufanya hayo marekebisho mkuu? Na nani kakufanyia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom