Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

THINK TANKS. Nina sarafu nyingi zilizotumika zamani sana, wakati wa ukoloni. ni dizaini kama Rupia, lakini za Queen Elizabeth I na repees. nilishasikia kwamba kuna jamaa au maduka fulani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gari ya kisasa VOLTZ ya mwaka 2002 inakilometer160000 Kama unahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natafuta room maeneo ya kariakoo. budget yangu 100,000 hadi 150,000 kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
878 Views
habari wakuu....nipo dar nahitaji smartphone nzuri isiyo na tatizo lolote......budget yangu ni laki 4 kamili ### no PM.......nitafute through this number 0714609907
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salamu waheshimiwa,
0 Reactions
0 Replies
891 Views
nyumba mpya yenye chumba,sebure na choo cha kujitegemea,tiles kote inapangishwa iko tabata kimanga. kodi ni 150000 kwa mwezi,inahitajika kodi ya miezi 6 mawasiliano # 0714358610
0 Reactions
8 Replies
2K Views
FULLY REGISTERED AND 1 YEAR COMPREHENSIVE INSURANCE. ENGINE: VVTi NCP65 CAPACITY: 1500cc DRIVE: AUTOMATIC MILLAGE: 92469KM PRICE TSH 12,500,000 (NEGOTIATION) Whatsap +255787736765
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza kuna jengo moja ambalo lipo katikati ya mji linauzwa pamoja na kiwanja kimoja kipo maeneo ya shangani..Jengo lipo mahala pazuri sana kibiashara. Yeyote...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari zenu wakuu,kuna kiwanja kinauzwa kipo Mtwara mjini katika mtaa wa MITENGO jirani sana na mji wa MIKINDANI kipo maeneo jirani na bahari japo bahari haionekani ila upepo wa bahari unafika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iwe ktk hali nzuri na iwe kuanzia A had D, bei isizidi 3mil, ukiipata naomba uni PM
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Cloud and Dedicated servers that are backed with Enterprise grade SSDs (Solid State Drive) enabled by Redundant Array of Independent NAND (RAIN) show a very noticeable improvement over their other...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Hbr wana Jamiiforum kwa yeyote anayetaka vitabu kwenye hii cz ya clinical medicine semester ya kwanza na semester ya pili tuchonge in my email {Rasokauzu@gmail.com} nitakusaidia kwa bei nafuu.shukran
0 Reactions
2 Replies
3K Views
gari aina ya PASSO inauzwa bei ni milion 7 kwa mawasiliano ni PM tufanye biashara cc 980 imetembea KM 37000 Ni 4 cylinder ishalipiwa ushuru wote ipo barabarani
0 Reactions
13 Replies
4K Views
manufacture year 2002 engine capacity 1990 odometer 174224 km auto,petrol fuel. bei ni milioni 9 mazungumzo yapo mawasiliano # 0714358610.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nyumba ya vyumba viwili vya kulala,kimoja ni master,sitting,jiko na public toilet.pia chumba kimoja(master bedroom) imefungwa AC.maji yapo muda wote,imezungushiwa uzio inapangishwa iko tabata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei poua kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 na pics chin apa biashara ni maelewano
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wanachi wote, hasa waliopo dsm! Natafuta gari dogo kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa na pale hapa mjini! Duet, Vitz, March, nk. Muhimu: (1) Sitaki yenye cc zaidi ya 1000. CC lazima iwe...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari zenu wadau wote, ninauza Carina TI Million saba niko Mwanza.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Kina ukubwa wa 21 * 40 m 2. Kimepakana na barabara ya mtaa, na kuna nguzo ya umeme hapohapo. 3. Maji yapo jirani Bei Mil. 10 maongezi yapo Cont: 0769877495
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…