Natafuta gari dogo!

Natafuta gari dogo!

Acha Ushamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
202
Reaction score
78
Kwa wanachi wote, hasa waliopo dsm!

Natafuta gari dogo kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa na pale hapa mjini!

Duet, Vitz, March, nk.

Muhimu:

(1) Sitaki yenye cc zaidi ya 1000. CC lazima iwe below 1000.
(2) Isiwe imekongoroka! Sitaki iliyochoka!
(3) Malipo ni kwa installment. Iwe monthly ama whatever! Tunaandikishana kisheria. Uwe na mwanasheria wako na mimi wa kwangu. Namna yoyote utakayo ili ujihakikishie usalama wa mali yako.

I can pay 650,000 every month hadi deni liishe! Naweza kuongeza hata kidogo kutokana na bei ya gari yenyewe!


Ahsanteni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom