Wapi nitapata huduma ya kuchora tatoo hapa DSM nataka nijichore mwenye kujua sehemu yenye huduma nzuri na kuzingatia usafi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Haya wenyekazi zao.
Nipeni bei hapo na ukubwa wake,na maelezo ya ziada.
Ikiwa at Walking Distance kutoka Harvard East Africa School itakuwa bora zaidi.
Niambiwe na kamisheni yangu kabisa,tusije...
Habari zenu wanajamii;
Kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Bwama hapa Chanika. Ninauza kuanzia ukubwa wa heka moja na kuendelea. Bei ya heka moja ni Tsh MILLIONI MOJA. Kwa mwenye kuhitaji...
Habar wakuu,
Nauza lain yangu ya mpesa tigopesa na airtel. Zote nauza lak9, mpesa lak na nusu airtelmoney lak na nusu na tigopesa lak 6. Napatikana kwa namba 0712620078
Natafuta fedha millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja. Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza...
Wakuu nawaletea habari njema. Nyumba yenye title deed ikiwa na eneo la ukubwa wa square meters 645 inauzwa Kigamboni eneo la Mikadi Beach, Mita 200 kutoka lango la Mikadi beach.
Nyumba hiyo ina...
Gari aina ya Toyota Duet inauzwa tshs 4,950,000. Iko kwenye hali nzuri sana haijapata ajali na mafuta inanusa cc 980 (1ltr 18km). Imetembea km 80,000 ,Lady driven .For more details just call 0713...
habari wadau
kuna fursa napenda ni share na wenzangu ambao wana
stationary na wanafunzi wa chuo ambao kwa mtaji
mdogo usio zidi laki 1 wanaweza kupata hela ya kujikimu
na ugumu wa maisha...