Nakufanyia installation ya program zote muhimu
kama vlc,mozilla,google chrome,adobe reader na
nyingne kibao hyo hutolei pesa ni pc zenye 4GB
ram 500 GB hard disk na processor core i5.
2.5GHZ very...
Habari wakuu....nipo dar, nahitaji smartphone nzuri original na ambayo haina tatizo lolote....ela niliyonayo ni laki 4 na 40 tu.
#440 , 0000
####kama unayo simu nitaarifu thru PM tuongee.....kesho...
Friji aina ya CANDY linauzwa na bei ni tsh.250,000/-.Bado lipo vizuri sema picha nimeshindwa kudownload lakini ukihitaji tunaweza tumiana kwa hata whatsapp.
Lipo Tabata matumbi. Dar es salaam...
Suzuki swift linauzwa! lipo kwenye hari nzuri halijawahi kupata hajali. km 150,000. 1320 cc . la 2004. ac, power window. airbag, CD player, FM radio. nimeshindwa Ku upload picture jf. linapatikana...
Habari wandugu....natafuta water pump yenye vigezo vifuatavyo:
Head.....Atleast 20m
Capacity....Atleast 300,000 Ltrs/Hour
Power source...Diesel or Petrol
Kwa yeyote mwenye pump yenye sifa au...
nahitaji frame ya biashara niweze kuweka mid-sized barbershop.
Nahitaji frame mbeya mjini especially mitaa ya uhindini ila hata maeneo ya mwanjelwa ni sawa.
Nashukuru.
Ninaflash na kutoa sim lock kwa bei rahisi sana,mfano iphone zote unlocking kwa njia ya software ni elfu 30 tu....official ama kwa kutumia imei itategemea na carrier aliyeilock simu yako,huawei za...
laptop aina ya hp,inauzwa bei 270,000/=inapungua kidogo,hdd300gb,RAM 2gb,battery 3hrs,webcam,wifi bluetooth,kama utapenda utabadili kava ya nje maana imechunika.nipigie 0717567879
picha hizo hapo...
Naomba mniambie wapi naweza kupata soko la kuku la uhakika nina mzigo wa kutosha .
nina shida na pesa naomba msaada wenu mnieleze soko nikauze. niko mlandizi kibaha
0753359245
Habari!
Kama unahitaji kiwanja Kwa mkoa wa Morogoro tuwasiliane!
Viwanja vipo sehemu zifuatazo:
Katikati ya mji (Kihonda, Kichangani, Nanenane na Kilakala.) Bei kuanzia 8Mil kwa heka.
Nje kidogo...
Mawakala wa ving'amuzi vyote na tunawatangazia ofa ya ticket ya mechi ya mpira wa kesho, kati ya watani wa jadi Wekundu wa msimbazi Simba Sports Club na Dar Youngs African watoto wa jangwani...