natafuta hdmi cable na remote control ya king'amuzi cha azam

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Remote niliyokuwa nayo imevunjika,mwenye navyo au duka linalouza naomba anijuze.
 
Remote ya StarTimes inaingiliana na Azam kilichokosekana ni Button ya kurecord tu lakini functions zote zipo poa,nenda duka lolote la startimes ukanunua kama ukikosa remote ya azam kwao! HDMI cable zipo za kuanzia 9,000/= na kuendelea.
 
Thanks kiongozi, nimepata ahueni sasa. Nilidhani nitakuwa wa kwenda kwenye king'amuzi kila muda kubadilisha channels.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom