Friji Linauzwa

Friji Linauzwa

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Friji aina ya CANDY linauzwa na bei ni tsh.250,000/-.Bado lipo vizuri sema picha nimeshindwa kudownload lakini ukihitaji tunaweza tumiana kwa hata whatsapp.

Lipo Tabata matumbi. Dar es salaam.
Sitaweza weka namba kwa sababu zisizozuilika kama unahitaji ni pm.
 
Size yake? Milango mingapi? Lina kioo mbele??
 
lina milango miwili mkuu na size duh ishu.kwa maelezo zaidi piga hii namba 0718032355
 
Friji aina ya CANDY linauzwa na bei ni tsh.250,000/-.Bado lipo vizuri sema picha nimeshindwa kudownload lakini ukihitaji tunaweza tumiana kwa hata whatsapp.

Lipo Tabata matumbi. Dar es salaam.
Sitaweza weka namba kwa sababu zisizozuilika kama unahitaji ni pm.
:bange:
​

Back
Top Bottom