Laptop ya dell naiuza ni nzima kama ilivyotoka kiwandani ina 4GB ram,core i5,hdd 500 GB bei ni tshs.500 sipunguzi hata shilingi mia kama unahitaji nitafute 0716385824
Wadau ninatafuta chumba maeneo ya Temeke Wailes!chumba kiwe kwenye eneo tulivu na kusiwe na muingiliano sana wa watu!napendelea kiwe self ila hata kama si self basi kiwe katika mazibgira ya watu...
GARI HII INAUZWA:
MITSUBISHI LANCER
MWAKA 1999
FIRST REG (TZ) 2008
CAPACITY 1597
MILAGE 149,240KM
SPEED 220KM
WORKING- IN NORMAL CONDITION
FUEL USAGE: 1LITRE PER 13/14KM
RANGI; BLUE DARK
VIBALI...
Kama ua Gari la bei Rahisi lisilozidi mil 5 weka Hapa Aina, Bei na Mawsiliano ikibidi nPicha, Anayehitaji atakupigia simu hata kama sio Mimi. Uzi huu unaweza kuwa wa Kudumu na ntajitahidi...
Habari wadau
Naomba kwa yeyote anayejua wapi naweza pata laptop dell latitude xps 13 ultra book au duka linalouza laptops brands nyingi kwa dar anijulishe.shukrani
Kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika,bei ni 5.5 MILLIONS,ukubwa ni 40 kwa 75,mchanga ni hapo hapo,sio mbali na barabara,MPIGIE SIMU MUHUSIKA NAMBA 0784859131
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy Vibrant kwa shilingi 150000, iko katika hali nzuri, kioo hakina scrach. ina 16 gb internal memory. narudi chuo kwahiyo i need some money.
Ni barabara ya Chanika-Mvuti,karibu kabisa na barabara ya lami iendayo Mbagara kupitia chamazi na ile inayorudi chanika,ni karibu na makazi ya watu,kina ukubwa wa SqM 703,tambalale na sehemu...
Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L iliyo katika Hali Nzuri ya Body na Engine.
Body ndio kipaumbele cha kwanza iwe Haijagongwa wala kupata ajali kubwa(sio michubukoo midogo)
Nahitaji...
Ni wauzaji wa vifaa vya pikipiki aina zote na bidhaa kutoka Dubai vikiwemo vya Boxa na vyengine vingi.
pia wanauza Engine original za pikipiki zenye ubora wa hali ya juu spocket set original za...