Nissan x trail for sell

Nissan x trail for sell

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
Alll
 

Attachments

  • IMG-20141017-WA009.jpg
    IMG-20141017-WA009.jpg
    149.9 KB · Views: 631
  • IMG-20141017-WA006.jpg
    IMG-20141017-WA006.jpg
    146.3 KB · Views: 581
  • IMG-20141017-WA007.jpg
    IMG-20141017-WA007.jpg
    147.9 KB · Views: 550
  • IMG-20141017-WA008.jpg
    IMG-20141017-WA008.jpg
    103.4 KB · Views: 525
7.5M? Mkuu mbona unaikosea adabu hii gari? Ina matatizo gani?
 
Mbona bei ubwete hivii, duu kaka nini shida hii gari?
 
hii gari huwa naiona sana Iringa! Dar imeenda sokoni? hiyo bei ni nzuri lazima uiuze fasta kama kweli haina tatizo!
 
Mkuu unaidhalilisha hii gari,ktk market hiyo ni quoted priceya vitz sa bei serious si unaweza ukauza bei ya bajaji? cku na me yangu nikitaka kuuza si majanga.hayo? semaunataka kias fulani cha mkopo bond iwe hii gari finito.
 
Bei yake halisi ni sh.ngapi? kwa hiyo namba BLH? kimfaacho mtu chake! mwache auze bei anayotaka ili atatue matatizo yake!@ quaterpin
 
Iko ngapi kwa sasa na ni ya mwaka gani, ?
 
@MgusiMukulu hili gari vip bado lipo, tangu saa nne usiku jana mpk saiz comments ni 8 tu waliona thread 400 na kitu, hivi hii bei ni sahihi kweli, au hizo za udalali ndo bei halisi mteja atapewa akilipia hiyo 7.5? Naulizia mkuu!
 
All duties paid, good condition, price 7,500,000mil .................0716805201 for serious buyer...gari ipo dar es salaam.

duh, gari nzuri!ikifika jpili tar 2 na bado ipo nitakuja dar niuze fielder yangu niichukue hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom