Natafuta laptop dell latitude xps 13 ultra book

Natafuta laptop dell latitude xps 13 ultra book

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
149
Habari wadau
Naomba kwa yeyote anayejua wapi naweza pata laptop dell latitude xps 13 ultra book au duka linalouza laptops brands nyingi kwa dar anijulishe.shukrani
 
Habari wadau
Naomba kwa yeyote anayejua wapi naweza pata laptop dell latitude xps 13 ultra book anijulishe.shukrani

kariakoo nlikutana nazo, kama miezi 6 nyuma, nlikua natafta xps 14. Not sure ka unajua bei, hizi little machines waliku wanaziuza 2.7mil
 
Thanks Good Guy ni duka lipi please
 
Last edited by a moderator:
Noted..nitacheki mitaa hiyo Good Guy
 
Last edited by a moderator:
Noted..nitacheki mitaa hiyo Good Guy

poa poa, ila why ultra book hii? Display ndogo hivo una penda? I suggest going for a larger 14 or 15'' diplay tena kwa bei ya hio machine u gt a pretty good laptop.
 
Last edited by a moderator:
Vp kuna latitude yoyote unaweza kurecomend especially consider battery lyf,hdd,window 8 etc.. Good Guy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom