T-shirt ni nzuri cotton nzito haichujuki rangi ikichuja ndani ya miezi sita unaruhusiwa kuja kubadilisha,bei ni 23,000/=kwa moja
pia shati slim fit rangi zote na size unayohitaji inapatikana kwa...
Kwa wale wadau wa kununua chupa chakavu za maji na juice tuwasiliane kwa namba 0753543236, ziko zaidi ya kilo 8000 vile vile waweza kuwasiliana kwa PM.
Ilikuwa ni project ya shule ila tayari nishamaliza na sina lengo la kuindeleza yoyote anayeitaka ani pm au tuwasiliane kupitia --- 0717970058
sokohuru.pe.hu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,ninauza compressor mpya kwa ajili ya AC ya VW TOUAREG 3.0TDi 7L.
BEI ni 1.3M DENSO ORIGINAL FROM UK.
Call or Whatsapp on 0712 183 826.
Pikipiki Inauzwa Bado Nzima Kabisa
Haina Tatizo Lolote
Bei Tsh: 1350000
Napatikana Daresalam
kwa Mawasiliano Zaidi
Sim Number 0658967191
Email: desib744@gmail.com
Wakuu habarini za majukumu!
Naomba msaada wenu, natafuta Fundi au garage nzuri yenye mafundi wa AC za hili gari, kwani AC inasumbua hivyo ningependa nikaipeleka kwa watu husika wakalitatua tatizo...
Habari za weeken wakuu
Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba yenye vyumba vi 4 na fensi....maeneo ni tabata,mbezi ya kimara,kimara,tegeta,goba,mbagala,kongowe.....kiwanja kisiwe mbali na...