Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ardhi ndio kitu pekee kila siku kinapanda thamani tofauti na simu au gari, pata mashamba na maeneo karbu na Dar kwa bei nafuu kuanzia milioni moja na nusu kwa eka pia maeneo ya viwanda yapo mengi...
5 Reactions
90 Replies
11K Views
TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA KISEMVULE Viwanja vipo kisemvule Km 7 kutoka Mbagala rang 3 Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la Shule limetengwa, Eneo la Stendi...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki! Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara), mimi ni fundi wa kutengeneza samani zote za ndani (furniture) kama vile makabati, sofa, vitanda na...
3 Reactions
4 Replies
644 Views
Salam! Habari za jioni wakulima popote pale mlipo,kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Mwenye mzigo wa nyanya chungu tuwasiliane ili tufanye biashara
1 Reactions
0 Replies
509 Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Wapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa? Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
2 Reactions
13 Replies
806 Views
Habari wa kuu ,Nina mashamba ya mihogo hekta 15 hapa Morogoro. Karibu tufanye biashara, mihogo mizuri inaiva maji kidogo sana. 0762502983
2 Reactions
0 Replies
401 Views
Habari kuna OFA ya viwanja kibada mwera ni km3 kutoka kibada round about! Bei sqm 1 Tsh 25,000 cash Sqm 1 Tsh 30,000 Mkopo(miez18) Mawasiliano 0746853161
1 Reactions
2 Replies
517 Views
Tumekata Viwanja vingine Hapa Kigamboni [emoji842]LOCATION Kibada Kilomita 1½ Toka Lami [emoji842]UKUBWA Sqmt 400, , 500 hadi 700 [emoji842]DOCUMENT Pamepimwa Tayari [emoji842]BEI Elfu 35...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mwenye uhitaji wa kuku wa chotara karibu sana wadau tuinuane tunapatikana Dar es salaam. Kuku wana umri wa miez 2 na wiki 2 kwa tarehe ya leo 06 May 24. Wapo zaidi ya 500. Kwa mawasiliano...
1 Reactions
0 Replies
445 Views
Mchele mzuri kutoka KIMWERI RICE ladha halisi lishe kamili Tupo bomang'ombe,Kilimanjaro Hai 1900 1Kg.
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Napangisha Nyumba Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita.. Karibu sana!
1 Reactions
1 Replies
467 Views
Laptop lenovo think pad inauzwa location mbeya mjini Ram 4gb,storage 500gb,processor 2.6 core i5. bei sh 350,000 mawasiliano 0673-107669
3 Reactions
2 Replies
514 Views
Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia...
1 Reactions
3 Replies
694 Views
Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3. Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Laptop LENOVO inauzwa kwa Gharama ya 200k maongezi yapo. Anapatikana Tabata Magengeni. Condition-Used, inakaa na chaji dakika tano tu hivyo inatumika ikiwa kwenye umeme Specs- RAM 4RAM HDD 300...
0 Reactions
6 Replies
664 Views
Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Habari ya muda huu wakuu, naimani tuko wazima. Karibuni sana NGC inapatikana uwanja wa ndege/Kipawa barabara ya karakata karibu na hotel ya New FQ hotel. S L P 70478 DSM Email ...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom