Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za mchana ndugu zangu, Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M. Ahsante.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini...
5 Reactions
11 Replies
951 Views
Ram ni 12 Storage ni 128GB Nipo iringa Nunueni wakuu vyuma vimeumana niko juu ya mawe
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua. Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na...
1 Reactions
6 Replies
565 Views
Habari wana jf Simu tajwa hapo juu Yenye storage Gb 512 Ram Gb 12 Bei Tshs 1,500,000/= Simu ipo kwenye hali nzuri ndio hii ninayotumia hapa Ukinunua unapewa na Charge yake Original Mawasiliano...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yapo Dar es Salaam Buguruni Rozana. Bei sh 500,000/=. Simu: 0677759159, 0752113939
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Habari wakuu Kuna mtu anatafuta chumba self contained + sebule na jiko ila iwe fully furnished yaani iwe na vitu vyote muhimu ndani. Nimesema niilete hapa labda anaweza kupata usaidizi. Iwe maeneo...
1 Reactions
1 Replies
749 Views
Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company. Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
STAND ZA LAPTOP. Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, matumizi ya kompyuta ndogo (laptop) yamekuwa muhimu sana katika shughuli za kazi, burudani, na mawasiliano. Hivyo kuna umuhimu...
1 Reactions
3 Replies
787 Views
karibuni wadau nauza gari aina ya TOYOTA RAUM ( SERIOUS BUYER ONLY) ENGINE-PETROL 1490cc SEATS=5 COLOR=silver TRANSMISSION=automatic MILEAGE= 140,000 NB: HAINA TATIZO LOLOTE NA MALI INAMATUNZO...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu 2 wenye uhitaji, zipo decoder mbili mpya. Wahi ujipatie kwa shs elfu 50 tu. Kufanyiwa installation na kifurushi, ni maongezi. Zipo Dar Es Salaam/Tabata-Mwananchi. Zitakuwepo tu ndani ya siku...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hellow Wapendwa wa Jamiiforums, Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka. Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia...
1 Reactions
6 Replies
892 Views
Kiwanja kinauzwa Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi...
3 Reactions
3 Replies
659 Views
Hello wana Jamii Forums naleta huu uzi kwa simu bei ya jumla, simu aina zote ndogo hadi smartphones. Karibuni sana tunapatikana Kariakoo mtaa wa Masasi na Msimbazi Contact: +255 714036595...
4 Reactions
5 Replies
6K Views
KIWANJA KINAuzwa bei 28m....
1 Reactions
34 Replies
2K Views
HP ELITEBOOK 840 G3 + Free Wireless Mouse & Free 32GB Frash Drive Price: 450000Tsh Status: used Size: 14inchs Colour: Silver Model: Elitebook 840 G3 System Properties Intel (R) Core (TM)...
1 Reactions
1 Replies
595 Views
Habari za muda huu, Nauza shamba heka 3 tu zipo Bagamoyo Mkenge. Ni kama 10km kutoka Bagamoyo road. Zote kwa pamoja ni 3.7m ni mali yangu haina dalali pia linatambulika na Serikali za kijiji...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
TUNAUZA MASHINE NDOGO ZA KULIMIA...
3 Reactions
1 Replies
835 Views
0783060577 SAMSUNG GALAXY S10e 330,000 BRAND NEW & CLEAN FROM KOREA SPECIFICATIONS Battery Performance - 100% Fingerprint Sensor - Working Face Unlock Sensor - Working RAM - 6GB Internal...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom