Hii ni nyumba kubwa iliyoko mandu MWANZA.ukiwa unatoka mwanza mjini unaelekea igoma shukia MWATEX fuata barabara inayoenda mahina fika njia panda ya mandu utaiona mkono wa kushoto,itauzwa Kwa njia...
Wakuu kazi nilizozitangaza kwa vijana wasiokuwa na elimu kubwa imeanza baada ya kumchukua kijana kutoka kijijini, sasa naomba mwenye ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku wa nyama na mayai aniPM...
BM Impex, wananunua mbaazi kwa bei inayomnufaisha mkulima.
Uza mbaazi zako DSM kutoka mkoani kwa bei zifwatazo.
Mbaazi za Arusha sh. 1000@kg.
Mbaazi za Mtwara sh.900@kg.
Wasiliana moja...
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is going on at Raha Tower DSM City Center 2nd Floor. opposite Makataba Kuu ya Taifa..
We are still inviting those who are interested...
Hellow guys, kama wewe ni mtengenezaji mzuri wa music yaani (PRODUCER), wa nyimbo za GOSPEL TUU,na unahitaji au unatafuta sehemu/stodio ya kufanya kazi zako. NAOMBA TUWASILIANE HAPA kwa kupitia (PM)
Wana ukumbi habari zenu,
Natumai muwazima, kama heading hapo juu ilivyo, kwa wale ndugu wanaohitaji visa za UAE au Dubai basi waweza kupata popote pale ulipo,
1,Visa ya siku 14
2, Visa ya siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.