Wadau inahitajika,
Cresta Gx 100 au aina yoyote ya style kama yake.Kama Mark II , Chaser nk
Muhim:-
Iwe 4 Cylinder
Kuanzia 2000 kwenda Juu
Number kuanzia C kwenda Juu
Picha zake
nauza dishi la free channel pamoja na dicorder yake ambavyo vyote vimetumika kwa miezi 6 tu na ni vizima kabisa bei ni tsh 170,000/= tu kwa vyote. cont 0753505115 ,0715 505115...
Habari wakuu.
Kama headline inavyojieleza nahitaji mtaalam wakunidizainia logo Ambayo nitaitumia kwenye biashara yangu. Na hata kuiprint kwenye t-shirt na hata blog.
Mtaalamu ajitokeze tuelewane.
kwa wale wanaojua, wapi nitapata shelvings za duka la madawa, zilizo special, kama zimetoka nje, naomba anielekeze tafadhali.
vilevile, kwa wazoefu wa biashara ya maduka ya madawa, naomba...
Haya sasa jamani sina bei. Nauza laptop aina ya DELL INSPIRON (N5040) yenye Hard disc 400GB, RAM 3, Webcam, Processor 2.53 GHz, charge inakaa zaidi ya masaa 3, haijatumika sana na bado ni...
Wengi wamekuwa wakiuliza kuhusu biashara ya mtandao na wengi kushindwa kujiunga kutokana na kutoijua kwa undani au kukosa maelezo ya kutosha.
Na hii ni kutokana kuwa ni biashara ya kimataifa na...
Habari yako?
Tafadhali, kama wewe ni fundi au unamfahamu mtaalamu wa PC aina ya MacBook naomba uniunganishe nae ili nimpe kazi ya kutatua tatizo la PC yangu. Natanguliza shukrani.
NI TOSHIBA SATELLITE
ILIKUJA NA W7 NOW NIMEIWEKA W 8.1,RAM 4GB,460GB HDD, INTEL CORE i3,
SABABU YA KUIUZA NATAKA KUNUNUA NYINGINE YENYE SPECIFICATION KUBWA ZAIDI
NIMEITUMIA KWA MIEZI MINNE, BEI...
Haya sasa jamani sina bei. Nauza laptop aina ya DELL INSPIRON (N5040) yenye Hard disc 400GB, RAM 3, Processor 2.53 GHz, charge inakaa zaidi ya masaa 3, haijatumika sana na bado ni mpyaaaa....
Bei...