AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
kwa wale wanaojua, wapi nitapata shelvings za duka la madawa, zilizo special, kama zimetoka nje, naomba anielekeze tafadhali.
vilevile, kwa wazoefu wa biashara ya maduka ya madawa, naomba kujuzwa, mlitengenezaje shelves, hasa zile ambazo unaweza kuhamisha toka sehemu moja hadi nyingie sio zil za kufit palepale kwenye chumba cha dawa.
je, magereza au VETA wanaweza kuigiliza kutengeneza kama zile za kichina? tafadhali..