Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu kama kichwa hapo juu kinavyojieleza...nahitaji simu yenye uwezo wa ku support whatsup. ..bajeti ni Sh.70. Iwe katika hali nzuri. My number 0689 309 344 au unaweza ukani pm
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Nawakaribisha wote walio tayair ku-generate an extra cash 3millions for only 3 months mbali na shughuli zao za kila siku kupitia an amazing part time opportunity. If you want to get things you...
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Tupo Toangoma kuelekea kigamboni karibu na kituo kipya cha Oil com utaona bango letu.Ndanda aluminium .0719744806.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nyumba yenye vyumba 5 inauzwa,iko tabata mawenzi ipo kwenye mazingira mazuri,miundombinu kama maji,barabara na umeme vyote viko poa bei ni shilingi milioni 50 mazungumzo yapo. #0714358610
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wandungu zanguni naomba msaada wa kuelekezwa hapa Dar es salaam mahala ambapo naweza pata kununua viti vya nyuma, Carrier, ngao ya mbele na nyuma vya Toyota Noah, natanguliza asante!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba mpya yenye vyumba 3 vya kulala,kimoja master,jiko,sebure,choo cha public inauzwa iko tabata segerea bei ni shilingi milioni 80 mazungumzo yapo #0714358610
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukijua kwambaa cv ni kitu cha kwanzaa mwajirii anaangalia kablaa ajaamua kukuita kwenye interview, inatubid tuifanye iwe bora na ya utofauti ili kupataa uzito wakutosha.. kwa njia hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi nahitaj honda click iwe katka hali nzuri....aliyenayo anipm
0 Reactions
2 Replies
955 Views
DELL OPTIPLEX 755 RAM 2GB,HDD 250GB,INTEL CORE2,Windows 7 64bits,Adobe cs6 Master collection yaani program zote za adobe. Monitor 19inch, Keyboard Mouse office 2007 BEI 245,000/= 0717017820
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mtu anayeuza laini za tigopesa , mpesa na airtell money. Kama unazo na unauza nipm au nipigie kwa 0789737868 niko dar
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Salaams! Natafuta hiyo simu maana nimesikia inadum muda wa mwezi mzima kwa full charge moja. solutions@oric.co.tz 0764800989
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Wapendwa wana Jf Poleni na majukumu. Kutana na jopo la mafundi walio bobea katika upigaji rangi nyumba maofisi na maeneo yoyote ambayo ungependa yapambwe kwa Rangi. pia tunachanganya rangi kwa...
5 Reactions
81 Replies
24K Views
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000. Lakini...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Nahitaji Makontena Mawili ya Futi 20 kwa bei ya Yshs 2,500,00 kwa kila moja. Whatsapp me @ 0787 736 765, Nipo Dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Toshiba Satellite, ilikuja na Windows 7 now nimeiweka Windows 8.1, RAM 4gb, 460gb HardDisk, Intel core i3, Sababu ya kuiuza nataka kununua nyingine yenye specification kubwa zaidi. Nimeitumia...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Tutafute kwa hizi no 0768359292 na 0652359292 na baadh ya picha za magar yetu chin apo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni bird e700 android 4.2.2 ram 512mb,internal memry 1gb simu ni mpya nicheki 0688206680 nipo dar kwa picha zake nicheki whtsapp hapa imeshindikana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau natafuta kiwanja maeneo ya bunju au salasala kwa condition zifuatazo 1.Ukubwa wa angalau sqm 800 na kuendelea 2. Gari lazima iwe inafika eneo husika 3.Pawe na access ya umeme Mwenye...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
ITEL Solutions has proved to be expensive for most of the VOIP Customers, because of following reasons:- • Expensive first payment for dedicated ITELSWITCH • Expensive payment towards...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…