Nauza galaxy s4, ni used iko kwenye hali nzuri. Ni original, white in colour, 16gb memory n inakuja na charger na glass screen protector. Kwa mawasiliano nichek at 0682009695.
Natafuta pikipiki KIBAO CHA MBUZI ya aina yoyote. FEKON, SANLG n.k.
Bajeti yangu ni shilingi laki tatu (300,000/=), bila kuzidi hata kidogo.
Piga chap-chap tufanye biashara chap-chap...
Mimi ni fundi simu mwenye uwezo mkubwa katika kazi hii ila sina ofisi maalumu so ninatafuta mtu mwenye ofisi iliyo rasmi niweze kujiunga nae katika gharama lakini pia tutagawana hata faida.Kwa...
nahitaji kupima madini na msaada mwingine kuhusu madini utambuzi wake ni nini mfano almasi nitatambuaje haya ni madini nitashukuru kwa msaada wenu wataalamu
Nina Samsung S3. ipo ndani huwa siitumii coz ina matatizo ya betri. Ni original. Nipeni bei wana Jamiiforums. Kama ntaridhika na bei yako basi tunafanya biashara.
:israel:Guys am looking for Blackberry z10 (BBz10) iwe kwenye condition nzuri na bei izizidi 250,000
napatikana Dar-es-salaam Masaki
needed urgent:boink:
Wadau poleni na majukumu,, Kiwanja Kinauzwa maeneo ya makongo juu (dar es salaam) unapimiwa miguu urefu 30m na upana 25m. Kama unahisi unahitaji hilo ni pm wandugu tuongee.
Chumba na sebure kiwe na choo ndani(master) maji na luku ya kujitegemea viwepo napendelea zaidi mitaa ya airport,karakata,majumba sita,banana hadi Mombasa karibu na barabara garama yangu 80-100
Jipatie toleo jipya la simu ya tecno......toleo la sasa....tecno phantom z.....kwa SH 550,000...............25 gb internal........2gb ram......16 megapxel camera 8 megapixel front camera with...
HP laptop ,window 7 4gb Ram ,500gb HDD,dual core 220 ghz ,betri haikai na chaji kwa muda mrefu karibia saa moja na nusu .price tsh 500,000.00 tel 0712652110 Dar
Nunua Nyumba hizi zilizopo mwanza maeneo ya big bite, ilemela mahakamani na mahina zote zina hati na ziko chini ya benki ya serikali.karibuni sana tuwasiliane Kwa 0788752672
Ninauza shamba lenye ukubwa unaokaribia ekari 6, liko katika kijiji cha SOGA, mkoa wa Pwani, Kibaha. Kijiji kinajengewa "Dry Port" yaani bandari ya nchi kavu, shamba liko karibu na kijiji (shamba...
UTAJIRI NJE NJE
Ni Shamba la Eka 10, lipo Mkoa wa Tanga, Wilaya ya Korogwe, Kata ya Kilole njia ya kuelekea Kanisa la ROMA. Kutoka ilipo "round about" Mzunguko wa Kilole Mjini ni umbali wa...
Nauza makochi ya watu saba kwa bei ya tshs. 900,000/= tu.
Nimeyatumia kwa miaka 3 ila yako katika hali nzuri
ni moja kubwa la watu 3, na moja la watu wawili na mawili ya mtu mmoja mmoja.
Kitambaa...