Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

iwe na uwezo wa kusafisha picha katika karatasi ya a4, ni pm kwa mawasiliano,
0 Reactions
0 Replies
698 Views
jipatie mashati mazuri ya kisasa ya kitenge cha Nyumbani kwa bei nafuu kabisa,rejareja 20elf jumla 16 elf,pamoja tutalijenga Taifa letu mawasiliano call na msg 0756 05 85 65 whatsapp 0686 87 18 87
0 Reactions
0 Replies
2K Views
iwe na uwezo wa kusafisha picha katika karatasi ya a4, ni pm kwa mawasiliano,
0 Reactions
0 Replies
687 Views
nahitaji machine ya hiti yenye uwezo wa kusafisha picha ya size ya A4, kwa mawasiliano zaidi nicheki pm, with regards,
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Habari za leo wakuu. Ninauza shamba langu nimepata shida,lipo Kijaka kata ya Kimbiji wilaya ya Temeke,lina ukubwa wa heka 1 bei ni sh mil 5 hakuna dalali. Kwa mawasiliano no ni 0768334637...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa mita 25 kwa 25,kiwanja kipo flati na kimezungushiwa nusu ukuta kipo mtoni kijichi(daresalaam) kama unaelekea mbagara kuu bei ni nafuu..kwa alie...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana JF: Mwenye nyumba natafuta nyumba ya Kupanga. Kwa mwenye taarifa anijuze. Iwe na vyumba viwili na jiko yaani chumba na sebule na jiko, bafu na choo iwe na maji na umeme. Tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya kinondoni B mtaa wa kanazi kwa shilingi za kitanzania mil.180
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aina zaidi ya kumi tupo airport maeneo ya jet
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa safari waliokuwa wakiumiana kuhuzunika kwa kukaa sana pale airport nairobi na mi nikiwa mmoja wao nimeona mwanga ..wiki iliopita nilipata rafiki kanionyesha ndege ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam Natafuta Alteza CC.2000 Registration No; C au D Rangi=Silver Bajeti yangu ni 7,000,000
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Umofia Kwenu, Wadau nina kilo 500 za Mihogo huku maeneo ya minjingu,bei ni laki na nusu kwa kilo moja,kama upo vizuri ni PM tufanye biashara,Kama unataka uletewe hadi dsm basi kilo moja ni 2mils.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samsung galaxy s2 nyeupe inauzwa tsh 220,000 imetumika mwezi mmoja. Contact 0716880022
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa unaweza kupata mafuta ya queen elizabeth kwa bei ya 35000 tu tumia queen elizabeth original ikupe siri ya urembo na utanashati faida zake: -mafuta haya hayachubui -hurainisha ngozi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitaji kwa hapa dar duka la vocha za jumla la bei za chini sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja hiki kimepimwa na kina hati ya kutoka ardhi,kiko nyuma ya uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere eneo liitwalo Mwanagati, huduma zote za maji na umeme vipo jirani, barabara ipo na...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Wana jf. Nahitaji tecno p5 kwa bajeti hiyo. Nipo dar
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajukwaa za jioni: Mwenzenu natafuta chumba cha kupanga self contained maeneo ya Chang'ombe karibia na DUCE uwanja wa Taifa. Kuwe na maji ya uhakika na kodi kwa mwezi isizidi 150,000/= Tshs...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni aina ya tcl inchi 18, inasoma xternal hard disc,flash imetumika miez mitatu,sababu ya kuuza nahamia kwangu kiluvya sina umeme bei laki 1 na 90, nliinunua lak 2 na nusu. PIGA 0755914977
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Nyumba (chumba,sebule, choo na Jiko) Tzs 150 Per Month maeneo yafuatayo: Kinondoni, Kijitonyama, Mwenge, Sinza au Magomeni. Call: 0715490570
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Back
Top Bottom