Nyumba inatafutwa ya kupanga

Nyumba inatafutwa ya kupanga

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habarini wana JF:

Mwenye nyumba natafuta nyumba ya Kupanga. Kwa mwenye taarifa anijuze. Iwe na vyumba viwili na jiko yaani chumba na sebule na jiko, bafu na choo iwe na maji na umeme.

Tafadhali hii ni kwa maeneo ya Kunduchi au Mbezi beach, Tafadhali ni-pm kama unaweza kuwa nayo.

Asante.
 
Nyumba ya kuantan ni nini.......na kama unaweza kuwait nayon ndio kufanyaje.......?
Preta kwani nyumba ya kuantan huko kwenu Yaeda naweza pata......mmmmh
...maake nyumba aina hizo ni adimu sana huku kwetu
 
Jamani natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo kwa laki na hamsini iwe na parking. Maeneo ya kigamboni, tabata kinyerezi, au kitunda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom