Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu wanajamvi, Naomba mwenye kuwafahamu wapambaji wazuri wa kumbi za harusi anifahamishe.Mwaka huu nitaoa so nahitaji kujua gharama mapema ili nitengeneze tentative budget yenye at leat...
2 Reactions
9 Replies
12K Views
kwa alie na container la futi 20 kwa dar es salaam tuwasiliane pm au piga 0658713343 tupatane bei
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 mpaka Hekari 2,kinahitajika... Kiwe kwenye maeneo ya mjini (Kariakoo,Ilala,Kurasini jirani na town,Maeneo ya Posta -city centre,Upanga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wadau, nimepewa jukumu la kutafuta gari kwa ajili ya kubebea maharusi, liwe jeusi. Mwenye nayo anipm na anitumie picha ya gari husika pamoja na bei anayokodishia. Shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza sh. 80000 tu ina hali nzuri sana. Ni ya 3G inakubali application nyingi tu zikiwemo; whatsup, n.k kwa mawasiliano tumia : 0717743549
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jumia is Tanzania's number one online shopping destination where you can shop the widest selection of electronics, fashion, home appliances, kid's items and more in Tanzania and have them shipped...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lete matajiri wa kununua plot,shamba,viwanja na ulipe vizuri.viwanja vina ukubwa wa ft 50 kwa ft 40 bei ni 2,500,000/=.Utalipwa laki 2 kwa mauzo ya eneo tajwa. Hivyo kadri tajiri atakavyo double...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta gari aina ya toyota ilyo ktkt hali nzuri,economy km vitz,raum,au paso isizid 4m
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Frm UK tsh 20,000 bei y jumla kuanzia pics 10.Inbox kwa muhitaji
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiwanja kwa ajili ya makazi au biashara kinauzwa, kipo Pugu Buyuni manispaa ya Ilala, njia ya kwenda Chanika. Kimepimwa, kina hati, ukubwa 967 sequre meter, bado hakijabadilishwa jina kutoka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Km 10000,cc 2140 NA ya mwaka 2004,bei mil 8 maongez yapo,kwa mawasiliano no hz 0768359292 na 0652359291 picha chin hapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napokea oda kwa wanaohitaji Sungura wa kufuga au nyama.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
IPO ARUSHA bei karibu na bure, kwa anayehitaji fika lake Oil Mianzini Wa mbali pga simu 0784580788 nitakuagizia
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Salama wadau, Kwa yeyote amabaye anahitaji mayai ya kuku wa kisasa ya kutotoleshea tuwasiliane kwenye number 0717332652,Both layers and Broilers. Tray nauza TZS 15,000 Nagatioablexx.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock uweze kutumia laini zote kwa bei rahisi sana, mfano blackberry, nokia na iphone kwa njia ya software ni elfu 30 tu. Pia ninatoa lock wa njia ya imei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
16gb silver iPad mini 2 with cellular , used for 4weeks ... For sale at 850,000 tsh! Dnt miss the offer call or text 0659839966
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Habari za majukumu wakuu, Leo nimekamatwa na ukata nahitaji Pesa chapchap. Ninauza Samsung galaxy note 3 chlone. Ipo vizuri, nimeitumia mwezi mmoja ila screen imecrack kiasi. Bei ni laki 3 na nusu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
TUNANUNUA MAGARI YA ZAMANI. Tunanunua magari ya zamani yenye sifa zifuatazo: 1. Iwe TOYOTA SALOON car tu. 2. Namba "A" na "B". 3. Iwe imetunzwa vizuri. 4. Iwe na Body...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Mwenye HTC one au HTC desire 610 na kuendelea anayeuza ani-check, nipo Dar es salaam. Contacts: 0767 109 191 au 0659 109 191
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…