Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

inamiaka 8 IPO njombe nipm ukitataka biashara hii jumla ya miti in 25000 na us here,IPO barabarani eka kama sit a hivi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ipo kibaha picha ya ndege pwani,vyumba 7,stoo 1, choo na bafu vinajitegemea,na inawapangaji, nyumba haina mgogoro,anaye uza ni mmiliki mwenyewe,bei ni 15ml, mawasiliano 0686958013 0755143486
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wale wafanyabiashara wanaochukua mizigo nje china,canada,korea,bidhaa kama nguo aina zote,wax,bell za nguo za watoto,bel za viatu,na bidhaa zingine,kama unahitaji kuongeza matawi ya biashara...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
An uncompleted 3 bedroom house at the roofing level in a serene and secured environment with water and electricity is going out for sale. All rooms have toilet and bathroom facilities. Master...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu nahitaji pikipiki a 900,000/- iwe katika hali nzuri, waweza tuma picha watsup 0655101998, Nipo Dar nw.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JE WEWE NI MJASILIAMALI AU MFANYABIASHARA? Sasa unaweza kupata mikopo kwa riba nafuu kama una biashara iliyosajiliwa yenye Leseni na TIN number. Mikopo inatolewa Kuanzia 1,500,000 mpaka milion...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wadau wa JF, kwa ma-dealers wa simu, Tecno R5 ama Tecno L7 mojawapo inahitajita. State bei pia!
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Habari wakuu Natafuta ice block machine kwa yoyote anaejua mahali naweza pata nitashukuru akinifahamisha
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wadau..hii simu lg n 70 d 320 mpya inasoma sh ngap shop?..naikubal sana
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Tunauza mafridge used lakini yaliyo katika hali nzuri kama mapya, na mafreezer pia, bei inaanzia 200000 na kuendelea kutegemeana na aina unyoitaka, na usafiri wa kukufikishia kwako upo. Pm. zipo...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wadau kiwanja kinauzwa bei nafuu kiko kawe umbal kidogo karibu na bich sq 800 bei mil 25,ila inapungua na pia ukitaka tupunguze sq mita tutapunguza kadri uwezavyo kutokana na pesa yko! Wah mapema...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Nahitaji simu inayo support whatsapp na application nyngne bajet yang ni 50000
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Pantech vega s5 2. Pantech vega secret anayefahamu zinapopatikana naomba ani pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipo ubungo kibo nauza kuanzia idadi ya nia na kuendelea asante0712505049
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Boma la vyumba vinne linauzwa chamazi gari inafika ni mita 100 kutoka barabara ya kuelekea katika uwanja wa klabu ya azam Bei ni tsh 15 mil mawasiliano ni 0689005003
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna materials kwa ajili ya slab tunauza. Ni complete set kuanzia marine boards (50), ,mirunda (300), mbao 2x4 (100),1x6 (40), 1x9 (45). Vifaa vimetumika mara moja tu. Hii set inatosha kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari aina ya HONDA CR-V ya 2002 kutoka Uingereza inauzwa kwa gharama ya makubaliano. Gari ni used ya Uingereza na imeingia Tanzania mwezi wa nane 2014. Imetembea kilometre 179,800 na ipo kama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nahitaji betri ya samsung table 10, mwenye nayo au kufaham sehem pakuipatia naomba anifahamishe,mimi nipo arusha.
0 Reactions
0 Replies
703 Views
nahitaji betri ya samsung table 10, mwenye nayo au kufaham sehem pakuipatia naomba anifahamishe.
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Habari wapendwa?? Natafata mahala pa kupanga (mwanza) kiwe ni chumba na sebure ikiwezekana na jiko.. Lakin hata bila jiko naweza kupanga. Quality iwe poa. Yenye ceiling board. Mobile #...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…